myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Bwana P ni mchambuzi mzuri, Yeye kama walivyo Watanzania wengi hujali TONGE lao kwanza kabla ya ukweli..Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Kwa nini hampendi kuambiwa ukweli?Lakini sasa ndiyo kaingia cha kike kukichafua chama chetu. Anaendekeza njaa sana wanafanya vibaya
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umelidadavua vizuri sana, Nkamia version.Bwana P ni mchambuzi mzuri, Yeye kama walivyo Watanzania wengi hujali TONGE lao kwanza kabla ya ukweli..
Unamaanisha yule njaa iliyoingia kwenye ubongo?Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Huyo huyo Mkuu.Unamaanisha yule njaa iliyoingia kwenye ubongo?
Jibuni hoja zake, kwani ni uongo kwamba Katiba ya CHADEMA inazuia wanachama kwenda mahakamani? huoni kama hii ni kinyume na katiba ya nchi na moja kwa moja inaondoa uhalali wake?!! kwani ni uongo kwamba utaratibu wa kuwafukuza ulikiukwa kwa mfano Halima mamlaka yake ya nidhamu kwa nafasi yake kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA ni Baraza kuu lakini yeye aliadhibiwa na CC!!!!? Haya ndo mambo ya kujibu na si kukimbilia kumuataki mleta hoja.Hatutaki kupakaziwa uongo,hao malaya wa kisiasa si wako Mahakamani? Huko ndiko ukweli utajulikana tofauti hizo ngonjera za huyo mlevi wenu mwenye njaa kali
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwamba ana personal issues na Mbowe, Sasa si ataumia tu Mbowe kamzidi kila Kwa kitu.Ninahisi ana personal issues na baadhi ya viongozi wa Chadema
Mhurumieni kaka yanguKupata A haimanishi yeye ni mbobezi kwenye sheria mambo mengine ni upuuzi mtupu tunao wengi huku mitaani ni weupe kichwani huwezi amini mkuu.
Jibuni hoja zake, kwani ni uongo kwamba Katiba ya CHADEMA inazuia wanachama kwenda mahakamani? huoni kama hii ni kinyume na katiba ya nchi na moja kwa moja inaondoa uhalali wake?!! kwani ni uongo kwamba utaratibu wa kuwafukuza ulikiukwa kwa mfano Halima mamlaka yake ya nidhamu kwa nafasi yake kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA ni Baraza kuu lakini yeye aliadhibiwa na CC!!!!? Haya ndo mambo ya kujibu na si kukimbilia kumuataki mleta hoja.
Hili jina sio geni, ni kati ya watu waliokula mema ya nchi kadri walivyopenda.Huyo mshamba kutwa kucha kazi yake kuipopoa Chadema sasa na yeye tutamuumbua mauchafu yake akilewa watu wanachomfanya. Kiboko yake huyo ni Mzee David Mataka tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Jina la Mdee lililopelekwa nec lilienda kama mwenyekiti wa bawacha au vitu maalum?Jibuni hoja zake, kwani ni uongo kwamba Katiba ya CHADEMA inazuia wanachama kwenda mahakamani? huoni kama hii ni kinyume na katiba ya nchi na moja kwa moja inaondoa uhalali wake?!! kwani ni uongo kwamba utaratibu wa kuwafukuza ulikiukwa kwa mfano Halima mamlaka yake ya nidhamu kwa nafasi yake kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA ni Baraza kuu lakini yeye aliadhibiwa na CC!!!!? Haya ndo mambo ya kujibu na si kukimbilia kumuataki mleta hoja.
Hata wakienda kudanga bado watakula pesa halali ya Tz (keki ya taifa)Waacheni wadada wajilie keki ya Taifa.
Ni mtu wa hovyoachana na huyo kuna Tulia inasemekana ni PhD holder. Lakini jitu la hovyo
Chuo kikuu wanatoa GPA, sio A kama za shule za viduduKuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.
Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.
Tusubiri.
Njaa ni adui wa haki mkuu wanguKuna fungu hao covid 19 wanamkatia kuichafua Chadema huku mitandaoni, huyu njaa yake anaiendekeza vibaya kiasi yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ili avute kitu kidogo.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.