Sakata la Mdee na Wenzake: Yule anayejisifu kusoma sheria na kupata A hamuwezi kumuona akichambua uamuzi wa Spika kuwalinda Mdee na Wenzake

Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawqpo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Huyo jamaa simuelewi kabisa.unakuja JF unajisifia eti ulipata A sheria hizo ni stress tu.Saba saba siku hizi haina ulaji kabisa.
 
sabasaba imekaribia mr nJAA mayala anapalilia ule ujira wake maisha magumu sana, ukimuuliza kuhusu mtu aliyetoka jela usiku kesho yake akaapishwa gereji kwamba alijaza fomu wapi na saa ngapi hatajibu
 
  • Ni kweli Katiba ya CHADEMA inazuia mwanachama kwenda mahakamani, Katiba hiyo imesema kwamba ukienda mahakamani ukashindwa kesi automatically unapoteza uanachama, Ukishinda kesi hiyo uanachama hauupotezi umeelewa hapo?
  • Kama Mamlaka ya kinidhamu ya Mhe.Halima Mdee ni baraza kuu, swali ni je Asiporidhika na uamuzi ataenda chombo gani kingine? Au unataka kusema ataenda Kamati kuu?
  • Vyombo vya ngazi ya Juu vya kinidhamu vya CHADEMA ni Kamati kuu ambayo kisheria tunasema Ina original jurisdiction, halafu mkutano Mkuu una appellate jurisdiction yaani mamlaka ya rufaa.
Unauliza then unanijibu mwenyewe, Halima angeadhibiwa na Baraza kuu na rufaa ingesikilizwa na mkutano mkuu na si vinginevyo.
 
- chombo chenye mamlaka ya kusikiliza kesi ni Kamati kuu Sio baraza kuu, hata Zitto alienda mahakamani kuzuia asijadiliwe na Kamati kuu
 
Huyo mshamba kutwa kucha kazi yake kuipopoa Chadema sasa na yeye tutamuumbua mauchafu yake akilewa watu wanachomfanya. Kiboko yake huyo ni Mzee David Mataka tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Wanachama wa CHadema wa humu Ni hopeless kabisa. JF Ni jukwaa huru. CHadema Ni Demokrasia na maendeleo. LINI MTAISHI HUO MOTTO WENU?

Matusi na kashfa. Hakuna madikteta kama wanachama wa chamatusi. Com. Katiba mnayotaka ya nini? Ya matusi? Why mko so stupid. Sio wote ila baadhi ya wanachama wa CHADEMA WA JF Ni zero BRAIN. Acheni matusi kwa watu wanaotoa hoja tofauti na matakwa yenu. Anzisheni Forum yenu Basi. CHADEMA FORUM where we dare to abuse.
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Naomba nikusahihishe, Mayalla alidisco UDSM, na pia alipogombea ubunge jimbo la kawe kupitia chama chake CCM aliambulia kura moja, kwa kifupi wajumbe walipiga spana.
 
Wanachama wa CHadema wa humu Ni hopeless kabisa. JF Ni jukwaa huru. CHadema Ni Demokrasia na maendeleo. LINI MTAISHI HUO MOTTO WENU?

Matusi na kashfa. Hakuna madikteta kama wanachama wa chamatusi. Com. Katiba mnayotaka ya nini? Ya matusi? Why mko so stupid. Sio wote ila baadhi ya wanachama wa CHADEMA WA JF Ni zero BRAIN. Acheni matusi kwa watu wanaotoa hoja tofauti na matakwa yenu. Anzisheni Forum yenu Basi. CHADEMA FORUM where we dare to abuse.
Unawajuwaje wanachama wa Chadema humu? Nadhani wewe ndio taahira kabisa.
 
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi ya sheria pale UDSM.

Sasa subirini kumuona kama atathubutu kuhoji na kuchambua uamuzi wa Spika kuwaruhusu Mdee na wenzake kuendelea kuwepo Bungeni pasipo uamuzi au zuio lolote halali la Mahakama.

Tusubiri.
Kwan kuoata A ndo

Izo A za michongo cho uwaga zinasumbua wenye A og watulivu awana maneno mengi ana hit kwenye point uyo ni chawa kama chawa wengine tu
 
This is too low guys..... CHADEMA....ni chama dume kilichojengwa katika misingi ya kujenga na kutetea hoja na sio matusi na kejeli..... CHADEMA ni Nuru ya matumaini kwa waTanzania waliopoteza tumaini ndani ya nchi yao.......
 
Back
Top Bottom