Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

Hata ningekua mimi ningejihudhuru. Wiki nzima ya maandalizi ushindwe kucheza mechi sababu ya kukosa saa moja ya kufanya mazoezi kwa mkapa, ni sababu ya kitoto sana
Shida sio Hiyo shida ni Dharau iliyo Fanyika pale.
Simba Wametumia Kila Aina kutatua hili lakini hapakuwa na usaidizi sasa Ulitegemea Nini kifanyike.
Hakuna Mnyonge kati ya Simba na Yanga
 
Shida sio Hiyo shida ni Dharau iliyo Fanyika pale.
Simba Wametumia Kila Aina kutatua hili lakini hapakuwa na usaidizi sasa Ulitegemea Nini kifanyike.
Hakuna Mnyonge kati ya Simba na Yanga
Wameogopa kupeleka timu uwanjani. Wameona wakati huu sio mzuri kwao kucheza na yanga. Maneno mengine ni visingizio tu.
 
Wameenda kwa kushtukiza bila kutoa taarifa kwenye management ya uwanja, hata wangeruhusiwa kuingia hayo mazoezi wangefanya gizani? maana muda ambao uwanja hautumiki taa zinazimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…