Tetesi: Sakata la Mo Dewji, mambosasa, DCI Boaz Watenguliwa

Tetesi: Sakata la Mo Dewji, mambosasa, DCI Boaz Watenguliwa

Uchunguzi wa kutekwa MO ndio umefungwa rasmi kwa njia hiyo.
 
Mambo today ana reasoning, sema afanyaje na mfumo wao unawaruhusu kutumiwa na wanasiasa
Sidhani kama ni kweli
Mbona wenzie wanatumika ila wanajua kutunga uongo
Mfano yule wa mwanzA na muroto

Ila mambo sasa akaamua kutuambia risasi ilipigwa juu ikarudi ikakata kona ikaingia kwenye hiace huu si ujinga ?
 
C7EB9C24-0FC8-4B62-AB96-02D22BA5FEA7.jpeg
C7EB9C24-0FC8-4B62-AB96-02D22BA5FEA7.jpeg
 
Hata Kama siyo Leo kuna mbuzi wa kafara lazima atolewe
 
Halafu kipindi cha kampeni nanukuu"kwenye utawala wangu mtumishi ukiboronga usifikirie nitakuwajibisha kwa kukuhamishia sehemu nyingine mtu unaharibu mwanza unapelekwa arusha kwenye utawala wangu ukiharibu ni mahakamani"nahisi alieko madarakani ni mtu tofauti na huyu
Dishi la jabali limeyumba vibaya sana! Yaani kama ni TV basi tunaona chenga tu
 
Back
Top Bottom