Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Rais akiwa mjinga tumuite vipi?Sio vizuri kumuita Rais "mjinga".
Najisikia vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais akiwa mjinga tumuite vipi?Sio vizuri kumuita Rais "mjinga".
Najisikia vibaya.
Wewe piga kelele, ruka ruka, jigalagaze au toa mipovu lakini mwisho wake ni lazima DPW waje.Naam wanajamvi,
Ukisikia mtihani mkubwa ni kama hili Sakata la Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania juu ya uendeshaji wa bandari za Tanganyika. Ukisoma ule mkataba kwa ujumla mpaka hapa Tanganyika hatuna jinsi, kwa maana tukiendelea nao tutakuwa tumejipeleka utumwani kwa namna vipengele vya mkataba vilivyo tumekwisa.
Tukiachana nao tumekwisha pia. Kifupi mpaka hapa tulipo fika ni kwamba DP WORLD wametuweka kwenye 18 zao kila upande. Hata tukiachana nao leo, bado tutatakiwa kuwalipa fedha nyingi, nyingi , nyingi kwasababu watatushinda mahakamani mapema asubuhi.
Tumefikaje hapa? Kwa maoni yangu , kwanza ni tamaa za viongozi wetu, pili ni udhaifu wa Mwanasheria mkuu wa serikali, tatu ni udhaifu wa watu wanao msaidia Rais kuto kujiamini katika majukumu wanayo pewa na Rais. Nitafafanua kila udhaifu .
Ukiungalia huu Mkataba uko vile kwanza kwasababu inaonekana sisi ndio tulionesha kuwahitaji Waarabu kwasababu moja au nyingine na Sababu kubwa ni fedha. Kwanini? Katikati ya Sakata lenyewe unamkuta Rais Samia Suluhu Hassan pengine na Chama chake kwa mbali. Kwanini? Wanajiandaa kwaajili ya uchaguzi wa 2025 na hivyo wakaona namna nzuri yakuwawezesha kupata fedha ni kuingia huu mkataba kwa kisingizio cha kuboresha utendaji katika bandari zetu.
Nasema ni kisingizio kwasababu kama nia ingekuwa ni hiyo tu basi wangefuata namna bora ya kumpata mwekezaji bora kwa mchakato wa wazi kabisa. Ila kwasababu walikuwa na agenda binafsi ndio maana wakafanya haya makubaliano kwa kificho.
HUU MKATABA ULIKUWA NI SIRI KUBWA, UMEVUJISHWA NA WATU WEMA WASIO PENDEZWA NA VIPENGELE VINAVYO IPELEKA NCHI YETU UTUMWANI.
Hapa unaiona tamaa ya Rais wetu kutaka kushinda uchaguzi yeye na chama chake hata kwa njia haramu. Kimsingi amevunja KATIBA ya Nchi.
Udhaifu wa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Huyu anatakiwa kuijua KATIBA ya Nchi yetu kinaga ubaga. Imekuwaje amekubali kuuza SOREINTY ya Nchi yetu kirahisi hivyo? Hajiamini, hakuwa tayari kumuudhi Rais, au na yeye fedha zilimfanya aseme Nchi nini bwana, nita a batana na fedha !!!
Waziri na watendaji wengine wa serikali tunaweza kuwalaumu lakini kwa mtazamo wangu hawakuwa na namna. Ukikataa huna kazi na ukikubali unakutana na fedheha kama hizi za kuingiza Nchi utumwani.
Nini kifanyike??
Kwa maoni yangu ni bora kuachana na huu Mkataba kabla hata hatujaanza kuutekeleza , halafu tusubiri kushitakiwa na kupigwa faini ya mabilioni ya dola kwasababu ya ukubwa wa mradi wenyewe.
MADHARA YA KUENDELEA NA MKATABA NI NINI?
Hofu kubwa ni kwanza ni kuligawa Taifa. Kuna watu wajinga wanachanganya Uarabu na uislamu ! Pili ni kuliingiza Taifa kwenye umasikini na utumwa mambo leo.
Kwanini ni The great ordeal?
Ukisikia kizungumkuti ndio hiki. Kifupi ni kwamba tumefika hapa kwasababu ya udhaifu wa USALAMA WA TAIFA. wajitathimini.
Lakini Rais Samia ni wakati sasa ajipime kama anatosha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Kwa maoni yangu amepwaya.
Wataanzaje kwanza? They will never. Umemsikiliza Kikwete? Na yule ndio mshauri wa Rais Samia. Anasema ni vizuri serikali ikawasikiliza watanzania kwasababu wanazo hoja tena za msingi kabisa.Wewe piga kelele, ruka ruka, jigalagaze au toa mipovu lakini mwisho wake ni lazima DPW waje.
Hatuwezi kuendekeza watu ambao kazi ambayo wanaweza kuifanya kwa ufanisi ni ufisadi, kufuja mali za umma na uzembe
Rais akiwa mjinga tumuite vipi?
[/QUOT
Ujinga hauna mipaka. Akiwa mjinga ataitwa mjinga tu.
Mkataba upi unaouzungumzia. Mimi sijaona mkataba wa "uendeshaji bandari", mkataba niliouona ni IGA baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya falme ya Dubai.Wewe kama huja uona mkataba basi wewe ni mzembe and I think you do not deserve to be JF member.
Kama nyie wananchi hamtaki kujiletea maendeleo wenyewe, mnaisubiri serikali iwaletee kila kitu. Mkipewa kazi mnaendekeza ufisadi na uzembe.Makuhadi wa uchumi wetu wanaendelea kuuza raslimali zetu kila uchao!
madini walishauza
vitalu vya gas
sasa bandari!
Hoja yako wewe ni ipi? Maana umeongelea "mkataba wa kuendesha bandari" ambao haupo. Au wewe unao?Wataanzaje kwanza? They will never. Umemsikiliza Kikwete? Na yule ndio mshauri wa Rais Samia. Anasema ni vizuri serikali ikawasikiliza watanzania kwasababu wanazo hoja tena za msingi kabisa.
Wewe na wenzako wenye akili za kushikiwa you either ignorant or religiously brain washed.
Dhaifi hana mamlaka ya maadili ya kutoa ushauri wowote nchi hii. Alipogawa gesi na madini yetu kwa wazungu mbona hakuwasikiliza wananchi. Rejea swala la buzwagi, bomba la gesi, bandari ya bagamoyo.Wataanzaje kwanza? They will never. Umemsikiliza Kikwete? Na yule ndio mshauri wa Rais Samia. Anasema ni vizuri serikali ikawasikiliza watanzania kwasababu wanazo hoja tena za msingi kabisa.
Wewe na wenzako wenye akili za kushikiwa you either ignorant or religiously brain washed.
Kwahiyo unatushauri tumwamini Mzanzibar auze bandari za Tanganyika?Dhaifi hana mamlaka ya maadili ya kutoa ushauri wowote nchi hii. Alipogawa gesi na madini yetu kwa wazungu mbona hakuwasikiliza wananchi. Rejea swala la buzwagi, bomba la gesi, bandari ya bagamoyo.
Nenda kasome document aliyo saint Rais samia akitoa mamlaka kwa waziri Wa ujenzi, kwa maneno yake mwenyewe anasema anampa mamlaka Waziri asaini mkataba Wa uendeshaji na uendelezaji wa bandari za Tanzania, au Kiingereza hujui? It is written in English though the document itself technically invalid.Hoja yako wewe ni ipi? Maana umeongelea "mkataba wa kuendesha bandari" ambao haupo. Au wewe unao?
Au unajaza watu ujinga?
Kati ya hao watu wengi wanaoingiza ushabiki wewe ni mmoja wao. Watu hawapingi DP World kupewa bandari, tunachopinga ni MKATABA MBOVU.Watu wengi wanaingiza ushabiki Kwenye mkataba huu,,, Wacha Mwarabu apewe Bandari, TICTs kapewa watu hajalalamika,,, watu wanatafuta kiki na political plat form. Na wengine ni wapigaji tu. DP world apewe tu. Walozoea kula nyuma ya pazia watafute mahala kwegine
Haya mambo yanahitaji akili iliyokuzidi uwezo. Relax'USALAMA WA TAIFA' - can you please explain in what context will our country be compromised?
why didn't anyone complain about TICT's which has been running the port for the past 20 years?
Huna akili.Watu wengi wanaingiza ushabiki Kwenye mkataba huu,,, Wacha Mwarabu apewe Bandari, TICTs kapewa watu hajalalamika,,, watu wanatafuta kiki na political plat form. Na wengine ni wapigaji tu. DP world apewe tu. Walozoea kula nyuma ya pazia watafute mahala kwegine
Unyumbu ni tabia ya watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya malengo ya kundi fulani, (conflict of interest), na kuogopa viongozi wao, (amygdala). Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest), or fear of their leaders catalyzed by amygdala.Naam wanajamvi,
Ukisikia mtihani mkubwa ni kama hili Sakata la Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania juu ya uendeshaji wa bandari za Tanganyika. Ukisoma ule mkataba kwa ujumla mpaka hapa Tanganyika hatuna jinsi, kwa maana tukiendelea nao tutakuwa tumejipeleka utumwani kwa namna vipengele vya mkataba vilivyo tumekwisa.
Tukiachana nao tumekwisha pia. Kifupi mpaka hapa tulipo fika ni kwamba DP WORLD wametuweka kwenye 18 zao kila upande. Hata tukiachana nao leo, bado tutatakiwa kuwalipa fedha nyingi, nyingi , nyingi kwasababu watatushinda mahakamani mapema asubuhi.
Tumefikaje hapa? Kwa maoni yangu , kwanza ni tamaa za viongozi wetu, pili ni udhaifu wa Mwanasheria mkuu wa serikali, tatu ni udhaifu wa watu wanao msaidia Rais kuto kujiamini katika majukumu wanayo pewa na Rais. Nitafafanua kila udhaifu .
Ukiungalia huu Mkataba uko vile kwanza kwasababu inaonekana sisi ndio tulionesha kuwahitaji Waarabu kwasababu moja au nyingine na Sababu kubwa ni fedha. Kwanini? Katikati ya Sakata lenyewe unamkuta Rais Samia Suluhu Hassan pengine na Chama chake kwa mbali. Kwanini? Wanajiandaa kwaajili ya uchaguzi wa 2025 na hivyo wakaona namna nzuri yakuwawezesha kupata fedha ni kuingia huu mkataba kwa kisingizio cha kuboresha utendaji katika bandari zetu.
Nasema ni kisingizio kwasababu kama nia ingekuwa ni hiyo tu basi wangefuata namna bora ya kumpata mwekezaji bora kwa mchakato wa wazi kabisa. Ila kwasababu walikuwa na agenda binafsi ndio maana wakafanya haya makubaliano kwa kificho.
HUU MKATABA ULIKUWA NI SIRI KUBWA, UMEVUJISHWA NA WATU WEMA WASIO PENDEZWA NA VIPENGELE VINAVYO IPELEKA NCHI YETU UTUMWANI.
Hapa unaiona tamaa ya Rais wetu kutaka kushinda uchaguzi yeye na chama chake hata kwa njia haramu. Kimsingi amevunja KATIBA ya Nchi.
Udhaifu wa Mwanasheria Mkuu wa serikali. Huyu anatakiwa kuijua KATIBA ya Nchi yetu kinaga ubaga. Imekuwaje amekubali kuuza SOREINTY ya Nchi yetu kirahisi hivyo? Hajiamini, hakuwa tayari kumuudhi Rais, au na yeye fedha zilimfanya aseme Nchi nini bwana, nita a batana na fedha !!!
Waziri na watendaji wengine wa serikali tunaweza kuwalaumu lakini kwa mtazamo wangu hawakuwa na namna. Ukikataa huna kazi na ukikubali unakutana na fedheha kama hizi za kuingiza Nchi utumwani.
Nini kifanyike??
Kwa maoni yangu ni bora kuachana na huu Mkataba kabla hata hatujaanza kuutekeleza , halafu tusubiri kushitakiwa na kupigwa faini ya mabilioni ya dola kwasababu ya ukubwa wa mradi wenyewe.
MADHARA YA KUENDELEA NA MKATABA NI NINI?
Hofu kubwa ni kwanza ni kuligawa Taifa. Kuna watu wajinga wanachanganya Uarabu na uislamu ! Pili ni kuliingiza Taifa kwenye umasikini na utumwa mambo leo.
Kwanini ni The great ordeal?
Ukisikia kizungumkuti ndio hiki. Kifupi ni kwamba tumefika hapa kwasababu ya udhaifu wa USALAMA WA TAIFA. wajitathimini.
Lakini Rais Samia ni wakati sasa ajipime kama anatosha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Kwa maoni yangu amepwaya.
Vizuri.Naam wanajamvi,

Falme ya Dubai sio 🤣🤣🤣Mkataba upi unaouzungumzia. Mimi sijaona mkataba wa "uendeshaji bandari", mkataba niliouona ni IGA baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya falme ya Dubai.
Wewe mama katika swala hili la DPW unatufanya waislamu tuonekane mazezetaHuo mkataba wa uendeshaji bandari uko wapi?
You are avoiding my question?Haya mambo yanahitaji akili iliyokuzidi uwezo. Relax
The point is TICT was also a private investor running the port?How can it be TICT ' s business ?!
Can you explain your 'kinyesi' or 'ubongo' by educating us on the details between the differences of TICTS and DP world??Mkataba wa TICTS na DP world inafanana? , umejaza kinyesi badala ya ubongo kichwani?