Sakata la Mtakaba wa DP World ni mtihani mkubwa

Wewe piga kelele, ruka ruka, jigalagaze au toa mipovu lakini mwisho wake ni lazima DPW waje.
Hatuwezi kuendekeza watu ambao kazi ambayo wanaweza kuifanya kwa ufanisi ni ufisadi, kufuja mali za umma na uzembe
 
Wewe piga kelele, ruka ruka, jigalagaze au toa mipovu lakini mwisho wake ni lazima DPW waje.
Hatuwezi kuendekeza watu ambao kazi ambayo wanaweza kuifanya kwa ufanisi ni ufisadi, kufuja mali za umma na uzembe
Wataanzaje kwanza? They will never. Umemsikiliza Kikwete? Na yule ndio mshauri wa Rais Samia. Anasema ni vizuri serikali ikawasikiliza watanzania kwasababu wanazo hoja tena za msingi kabisa.

Wewe na wenzako wenye akili za kushikiwa you either ignorant or religiously brain washed.
 
Wewe kama huja uona mkataba basi wewe ni mzembe and I think you do not deserve to be JF member.
Mkataba upi unaouzungumzia. Mimi sijaona mkataba wa "uendeshaji bandari", mkataba niliouona ni IGA baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya falme ya Dubai.
 
Makuhadi wa uchumi wetu wanaendelea kuuza raslimali zetu kila uchao!
madini walishauza
vitalu vya gas
sasa bandari!
Kama nyie wananchi hamtaki kujiletea maendeleo wenyewe, mnaisubiri serikali iwaletee kila kitu. Mkipewa kazi mnaendekeza ufisadi na uzembe.
Bora serikali iwauzie nchi DUbail world
 
Hoja yako wewe ni ipi? Maana umeongelea "mkataba wa kuendesha bandari" ambao haupo. Au wewe unao?

Au unajaza watu ujinga?
 
Dhaifi hana mamlaka ya maadili ya kutoa ushauri wowote nchi hii. Alipogawa gesi na madini yetu kwa wazungu mbona hakuwasikiliza wananchi. Rejea swala la buzwagi, bomba la gesi, bandari ya bagamoyo.
 
Dhaifi hana mamlaka ya maadili ya kutoa ushauri wowote nchi hii. Alipogawa gesi na madini yetu kwa wazungu mbona hakuwasikiliza wananchi. Rejea swala la buzwagi, bomba la gesi, bandari ya bagamoyo.
Kwahiyo unatushauri tumwamini Mzanzibar auze bandari za Tanganyika?
 
Hoja yako wewe ni ipi? Maana umeongelea "mkataba wa kuendesha bandari" ambao haupo. Au wewe unao?

Au unajaza watu ujinga?
Nenda kasome document aliyo saint Rais samia akitoa mamlaka kwa waziri Wa ujenzi, kwa maneno yake mwenyewe anasema anampa mamlaka Waziri asaini mkataba Wa uendeshaji na uendelezaji wa bandari za Tanzania, au Kiingereza hujui? It is written in English though the document itself technically invalid.
 
Kati ya hao watu wengi wanaoingiza ushabiki wewe ni mmoja wao. Watu hawapingi DP World kupewa bandari, tunachopinga ni MKATABA MBOVU.
Hivi nyie "waunga mkono" sijui uwezo wenu wa kuelewa mambo una shida gani; tatizo ni mkataba wa kimagumashi. Hata ingekuwa wanapewa TICTS au kampuni nyingine, kwa mkataba "wa kishenzi wa kijinga" (Rip JPM) kama huu, bado watu wangelalamika tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Unyumbu ni tabia ya watu waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya malengo ya kundi fulani, (conflict of interest), na kuogopa viongozi wao, (amygdala). Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives, (conflict of interest), or fear of their leaders catalyzed by amygdala.
 
Vizuri.
 
Mkataba upi unaouzungumzia. Mimi sijaona mkataba wa "uendeshaji bandari", mkataba niliouona ni IGA baina ya serikali ya Tanzania na serikali ya falme ya Dubai.
Falme ya Dubai sio 🤣🤣🤣
 
Huo mkataba wa uendeshaji bandari uko wapi?
Wewe mama katika swala hili la DPW unatufanya waislamu tuonekane mazezeta

Ebu tenganisha uislamu na mambo ya DPW

Waarabu ni watu Kama sisi, sio kila mwarabu ni muislamu

Hata Abuu lahab alikuwa mwarabu ila hakuwa muislamu

Pia uislamu hautaki uchawa wa kuwakumbatia watu kwa sababu ya nasabu zao, mbora katika watu ni Yule mwenye ucha mungu zaidi

Pia uislamu hautaki dhuluma, hautaki kudhulumu au kudhulumiwa

MSIDHULUMU WALA MSIDHULUMIWE.” [ 2 : 279]

“— NA ATAKAYEDHULUMU MIONGONI MWENU TUTAMUONJESHA ADHABU KUBWA.” [25 : 19]

“— NA ALLAH HAWAPENDI MADHALIMU.” [3 : 57]
pia unapounganisha maswala haya na uislamu, unasababisha watu wautukane uislamu , wamtukane ALLAH (sw), na mtume (saw) kitu ambacho ni kibaya na kiovu.

وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِنْ دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِمْ مَرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُمْ بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
Wala msiwatukane hao wanao waomba badala ya Mwenyezi Mungu, wasije na wao wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna hivyo tumewapambia kila umma vitendo vyao. Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia waliyo kuwa wakiyatenda.

Allah ndio mjuzi zaidi
 
Mkataba wa TICTS na DP world inafanana? , umejaza kinyesi badala ya ubongo kichwani?
Can you explain your 'kinyesi' or 'ubongo' by educating us on the details between the differences of TICTS and DP world??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…