Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawiliNilichojifunza kwa huyu Peter ni Mwanamume haswa..
Hastahili kuwa mwanaume wa dar hata kidogo.
Ndoa mzigo saizi tunawazalisha tu halafu tutalea watoto kwa whatsappHao ndio wanawake " bwana "... nyie endeleeni kuoa ..tu "...
OMG....Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawili
Ni fala tu,nampa big up aliyemshika mkono dkk za mwisho huku... Watu wamemkalisha chini..!!!wamemuambia akomae!
Ila kwa uanaume hanaa!!!
Halafu ukimpiga vibao mwanamke kama huyu ,utasikia watu ooooo!!!! Mwanamke hapigwi,wakati jamaa huyo peter katoa million mbili za nauli ya ndegeHalafu kumbe alipewa hela ya kukata tiketi ya ndege yeye akachukua bus hapo huoni kama amechangia mtoto kudhofika kiafya mpaka anafika kenya ujinga wake umeleta madhara
Aiseee nashindwa huyu jamaaAisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] castor kazi yake ndo imefanyaMara paaap , casto nae akasema msiba uko nyumbani kwake na atachagua sehem anayotaka mwanae azikwe
Chunga kauli yako wewe huyo magu wewe hujui jinsi anavyoendesha hii nchiMama wa mtoto yuko Instagram "anachamba" na simu yake imeflot rambirambi zingine zinagoma mpaka atowe zilizopo.
Kuna wakati tukiweka siasa pembeni Magufuli ni Rais sahihi tulie naye kwa aina ya mijitu ya hovyo iliyojaa nchi hii, njia pekee ya kuirudisha kwenye mstari ni kuwabinya kwelikweli kiasi kwamba kila mtu atamani kuwa mlokole jinsi dhiki zitakavyowaandama. Kwa hili huwa namuunga mkono Magufuli ndiye Rais sahihi kwa mahitaji ya wakati na atakapoanza kuwatandika viboko watu wazembe kule ikulu mishipa ya fahamu ya wajinga wote itazibuka.
Sawa miye taahira kweli bwana dokta!unijibu likiisha saga!OMG....
Ntakujibu... After the aftermath....
Maana mataahira mko in plenty over here.
Dhaaaaaaaa yan wanawake kama HawaHalafu ukimpiga vibao mwanamke kama huyu ,utasikia watu ooooo!!!! Mwanamke hapigwi,wakati jamaa huyo peter katoa million mbili za nauli ya ndege
Hahaaaa!!!!! Hivi yupo kanisa gani??? Na huyo mchungaji ataishije na mke wa mtu wa ndoa tena ambaye hajapewa talakaHuyo malaya Maimuna awahi haraka kwenye sala ya toba, Mungu hataniwi kiasi hiki kugeuza makanisa ya kilokole kuwa ndio kichaka cha wahuni.
Ndio maana najivunia ukatoliki wangu tunakunywa bia na maparoko wetu bila unafki na parokia zetu zina miradi ya social club ambazo bia zinauzwa bila unafiki tofauti na hii mijitu inayojiita milokole minafki kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hayajakukuta tulia ......siku ukinyweshwa maji ya chupi ndo utajua
Tena kwa watu wenye hasira anaweza kuua kabisaDhaaaaaaaa yan wanawake kama Hawa
N wakupga vbao tu
Aiseee kama huyu muna n wakuuwa tu co Kwa ujinga huuTena kwa watu wenye hasira anaweza kuua kabisa
aaaa wapiiiiHayajakukuta tulia ......siku ukinyweshwa maji ya chupi ndo utajua
Aiseee Kwa maswali haya muna anafaakama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.
matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Kweli yaani zamani tu jamaa ana uvumilivu uliopitilizaHuyo mama Patrick ni wa kumuombea tu kwa kweli. Peter ana busara sana maana kwa yanayotokea, ingekuwa mwingine angemiminia mtu riaasi.
Sawa kwani me nna shida we jichanganye kwa wadada waswahili waswahili utaelewa siku moja.....wanawake tukiamua kukufanya ndondo ni dakika sifuri tu kazi imeishaaaaa wapiiii
Kwetu nimeagaSawa kwani me nna shida we jichanganye kwa wadada waswahili waswahili utaelewa siku moja.....wanawake tukiamua kukufanya ndondo ni dakika sifuri tu kazi imeisha
OkkkkKwetu nimeaga
Hivi lemutuzz ana mtoto?Muulize Le Mutuz ni kwa nini kambia child support Marekani ndio utajuwa maana ya ndoa ni nini na maana ya birth certificate ni nini, wewe jamba jamba tu hapa JF.