Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sema hana mke. ww binafsi ukikubali kutombe.wa nyumbani unaposhi na mme wako hicho kitendo kinabatilisha vipi uanaume wa mume wako??
Acheni kutumia vichwa kwa ajili ya kushonea maweaving na kuegeshea mawigi.
We utakubali mkeo afanyiwe hvyo!?am sory lakini kwa swali hili!mume kimeo,mke kimeo

Mwanaume kamili hawezi vumilia huo ujinga
 
Kwani alikua analiwa na mume wake akiwa anajua kabisa?
Anajua kila kitu,huyo mtoto alikua anajua pia kuwa sio wake na alishawahi kumtamkia live!

Sema mshikaji huyo angekua kaka angu ningempiga makofi hadharani maana daah!
Hivi kaka mama anafanya bday ya mtoto,baba hujui kweli?halafu wanaenda baba mwingine,wampigia simu anakuambia Leo bday ya mtoto yuko na wanaume wengine
 
Huyo Zakaria anakuwa kama sio mchaga bhana. Yeye akaushe baadae anaenda kwa mahakama kudai fidia ya kuhudumia mtoto ambaye huyo dada alifanya kama utapeli vile. Naiona zaidi ya 100m ile inayeyuka.
Utagombaniaje maiti aisee.!
 
muna alikuwa anaishi maisha ya hovyo hovyo sana mbele ya mtoto.....mtoto anapokuona mama unalala na mababa tofauti tofauti anapata picha gani?
nimeona kalala jr naye anadai amemlea mtoto (aliwahi kuishi na muna).
Mama ni mfano mwanana kwa generations!
Kina mama lazima tuishi kwa mifano ya hekima na busara wakati wote
 
alikuwa anapigwa macheni shingoni, hereni sikioni saa kubwa huko kichwani utasema muimbaji wa akudo impact....
muna alikuwa anaishi maisha ya hovyo hovyo sana mbele ya mtoto.....mtoto anapokuona mama unalala na mababa tofauti tofauti anapata picha gani?
nimeona kalala jr naye anadai amemlea mtoto (aliwahi kuishi na muna).
Tuache kurembaremba maneno na kujiumauma huyu mtoto ameuwawa na mama yake mzazi fullstop

Mashetani kama Muna kwenye ukoo wetu anatengwa
 
Huyo Muna Malaya Mbwa tu, hili liwe fundisho kwetu wanaume, unapoamua kuoa zingatia aina ya mwanamke unayetaka kujenga naye familia. Hawa malaya wa Bongo Mav* wanaweza kukatisha maisha yako.
mkuu huwezi jua pengine na inaonesha hawa wawili peter na muna walikuwa na ugomvi ikapelekea haya coz walifunga ndoa kanisani kabisa
 
Anajua kila kitu,huyo mtoto alikua anajua pia kuwa sio wake na alishawahi kumtamkia live!

Sema mshikaji huyo angekua kaka angu ningempiga makofi hadharani maana daah!
Hivi kaka mama anafanya bday ya mtoto,baba hujui kweli?halafu wanaenda baba mwingine,wampigia simu anakuambia Leo bday ya mtoto yuko na wanaume wengine
Kwa hiyo kwa ushahidi huu umeconclude kuwa peter ni taahira. Aiseeeh hii nchi bado ina vichaaa wengi mno. Nakushauri uende dodoma kimatibabu
 
Back
Top Bottom