Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
We umemaliza kila kitu muna kaua mtoto .......eti alimwambia peter " mtoto yupo serious anaumwa lolote linaweza kutokea" ....Tuache kurembaremba maneno na kujiumauma huyu mtoto ameuwawa na mama yake mzazi fullstop
Mashetani kama Muna kwenye ukoo wetu anatengwa
Mama gani ana akili za kijinga kama huyo