Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Nilichojifunza kwa huyu Peter ni Mwanamume haswa..

Hastahili kuwa mwanaume wa dar hata kidogo.
Huyo ni mchagga,tazama clip yake You tube hata kiswahili yenye ako anabonga ni pure Swahili with Chagga ascent!
 
Mtoto Patrick ameshatangulia mbele za haki lakini huku nyuma, moto unawaka. Mama yake, Muna Love amesababisha kizaazaa kabla hata mwanaye hajapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, machozi jasho na damu vinachuruzika.

Muna anadai mtoto ni wa Casto Dickson, yule mtangazaji wa Siz Kitaa (Clouds), Casto anadai mtoto ni wake lakini upande wa pili, yupo baba halisi, Peter Zacharia ambaye anavyo vithibitisho vyote vya kisheria kwamba Patrick ni mwanaye.

Muna anataka yeye ndiye achague wapi anamzika mwanaye, Zacharia anadai yeye ndiyo baba halisi wa mtoto kwa hiyo ndiye atakayechagua wapi pa kumzika mwanaye na azikweje. Muna anasisitiza kwamba mtoto ni wake na msiba ni wake kwa hiyo yeye ndiye atakayemzika mwanaye.

Kuna misiba miwili kwa maiti ya mtoto Patrick, Muna ameweka msiba nyumbani kwake, Zacharia pia ameweka msiba nyumbani kwake. Waombolezaji wamechanganyikiwa, hawaelewi waende kwa Muna au kwa Zacharia.

Zacharia anasema mwanaye akizikwa bila ridhaa yake, yupo tayari hata kufuata sheria ili mwanaye akafukuliwe na azikwe anapopataka yeye, kwa sababu yeye ndiye baba halisi. Anavyo vithibitisho, kikiwemo cheti cha ndoa na Muna na anaeleza kwamba hajawahi kumuacha mkewe huyo, ile yeye ndiye aliyekimbia nyumbani kwao, mtoto akiwa na miaka mitatu.

Nini hatma ya malaika Patric ambaye maskini ya Mungu hana hatia katika hili? Maiti yake inagombewa na kuna hatari akizikwa kabla ya hizi tofauti hazijapatiwa ufumbuzi, mwili wake utafukuliwa na kuzikwa upya.

Yajayo yanahuzunisha sana!


Habari zaidi, soma=>TANZIA: Mtoto wa Munalove Patrick Peter Zacharia Komu almaarufu Partsmartboy Afariki dunia


aliumizi moyo maana lina baba wenye mbengu moja ambalo lina wewe unaye post
 
Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawili

Ni fala tu,nampa big up aliyemshika mkono dkk za mwisho huku... Watu wamemkalisha chini..!!!wamemuambia akomae!

Ila kwa uanaume hanaa!!!
Hatar sana!
 
Dah mazafanta hawa wanawake hawa!!!hawa wanawake hawa nasisitiza tena hawa wanawake hawa hakiya Mungu aishiye na aliye hai wakati wote ikitokea nikakutana na ronyo kama hili maishani mwangu nitamuomba tu aniepushe na moto siku nitakapoyafunga macho yangu!

Nitakachomfanya hata kama Mungu akampa favors za kwenda pema akiniona wakati huo nakielekea kizimba kujibu mashtaka yangu atakurupuka mwenyewe akimbilie motoni.

Huyu brother anaonekana haya maisha ya huyu malaya yamemchosha sana na amechoka zaidi mwanaye anapofariki halafu anaburuzwa buruzwa as if ni mzoga au mtu asiye na kwao,ndugu zangu mnaotegemea kuanzisha familia angalieni sana wanawake mnaowaowa na mshirikisheni Mungu msiende tu kwa akili zenu.
 
Huyo Zakaria anakuwa kama sio mchaga bhana. Yeye akaushe baadae anaenda kwa mahakama kudai fidia ya kuhudumia mtoto ambaye huyo dada alifanya kama utapeli vile. Naiona zaidi ya 100m ile inayeyuka.
Utagombaniaje maiti aisee.!
mapema kabisa niliwaza kitu ka hicho
 
Sikila mtoto, baba yake anayekaa nae ndiye mzazi halali, hapana watoto wengi wazazi wao wa kiume si baba zao halisi na mpaka utafiti unaonesha hivyo. Mzee Zakaria kwa uzee wako na busara zako kweli huyajui haya...? Mama mzazi ndiye mjuzi wa baba halali genetically. Acheni maiti izikwe jmn...😵😵😵😵😵😵
 
Aisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
AMEZIKWA KINONDONI!
Kaaazi kweli kweli!
Hawa watu hawa utu umehama kabisa, wamekuwa kama wanyama walahi!
Mwenye Enzi Mungu asiwaache hata mmoja ili liwe fundisho kwa huyo baba na mama walahi!
 
Mtu yeyote mwenye akili ila tu atakapochua kadi ya CCM akili zinamruka.[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc Kitila mkumbo, polepole, kafulila,
Mkuu,kumbe ukiachana na siasa za ccm wewe ni mtu mwenye akili nyingi namna hii!!!!!!
Sijawahi kufikiria hata siku moja kuwa kuwa wewe ni mtu Geneous namna hii,umeandika maneno yenye hekima kubwa sana kupindukia...kumbe taifa letu linayohazina kubwa ya vjana wenye akili isipokuwa wanaharibiwa tu na siasa za hovyo...nimeupenda sana ushaur wako Mkuu!
 
Tuseme ukweli, Wachagga jifunzeni Kugegeda vzur, mnagegedewa saaaaanaaaaaaaaa manzi wenu! Kwa leo naishia hapo.
 
Sema hana mke. ww binafsi ukikubali kutombe.wa nyumbani unaposhi na mme wako hicho kitendo kinabatilisha vipi uanaume wa mume wako??
Acheni kutumia vichwa kwa ajili ya kushonea maweaving na kuegeshea mawigi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nitakuja kuoa kweli? Labda demu bikra sio hawa ambao watahitaji kukumbushia, huyo jamaa ana moyo wa kipekee sana mimi ningewapotezea mama na mwana, Kwendraaa.
 
Mimi nitakuja kuoa kweli? Labda demu bikra sio hawa ambao watahitaji kukumbushia, huyo jamaa ana moyo wa kipekee sana mimi ningewapotezea mama na mwana, Kwendraaa.
Unataka bikra wewe ni bikra? umeshatifua matobo mangapi kama ulivyo pita utapata aliyepitiwa tu. since ur bigbootylover
 
Kama alizaliwa ndani ya ndoa huyo ni wa kwake....
Hili jambo likipelekwa mahakamani Zacharia anaweza kuwashinda kabisa....
Jambo liko serious sana......... kuwa baba wa mtoto hakuishii kwenye kutoa mbegu tuuu
Huyu apelekwe mahakamani afungwe kwa kumtapeli mwanaume analea mtoto si wake muda wote huu......janamke jinga jinga kama nini....
 
Hata asingelisema ni lazima Peter Zacharia alitakiwa ashiriki kila hatua maana amekuwa akimuhudumia mtoto na mtoto alizaliawa ndani ya ndoa.....
Muna azunguke,akane,ajipigepige lakini lazima itathibitika mtoto ni wa Zacharia ....kinyume na hapo mtoto huyo tavunja rekodi ya kuchelewa kuzikwa au atakuja kufukuliwa.....
Acha ulimwengu umfunze adabu......lazima ajue utapeli haulipi
Kabisa.....me sipendi wanawake waongo waongo.....wanakuwa na mambo ya kijinga sana....huyu angekuwa uarabuni sasa hivi ameshachezea mawe ya kutosha fala huyu mwanmke.
 
Back
Top Bottom