Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Nilichojifunza kwa huyu Peter ni Mwanamume haswa..

Hastahili kuwa mwanaume wa dar hata kidogo.
Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawili

Ni fala tu,nampa big up aliyemshika mkono dkk za mwisho huku... Watu wamemkalisha chini..!!!wamemuambia akomae!

Ila kwa uanaume hanaa!!!
 
Ametombewa live huyo munaa ndani ya nyumba yake,huyo Peter anajua mtoto ana baba wawili

Ni fala tu,nampa big up aliyemshika mkono dkk za mwisho huku... Watu wamemkalisha chini..!!!wamemuambia akomae!

Ila kwa uanaume hanaa!!!
OMG....
Ntakujibu... After the aftermath....

Maana mataahira mko in plenty over here.
 
Aisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
Aiseee nashindwa huyu jamaa
Yetu manigi mwenzetu alitoka wap na huyu
Malaya wa DSM asiea na mipaka
 
Mara paaap , casto nae akasema msiba uko nyumbani kwake na atachagua sehem anayotaka mwanae azikwe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] castor kazi yake ndo imefanya
Afunge hilo domo
 
Mama wa mtoto yuko Instagram "anachamba" na simu yake imeflot rambirambi zingine zinagoma mpaka atowe zilizopo.

Kuna wakati tukiweka siasa pembeni Magufuli ni Rais sahihi tulie naye kwa aina ya mijitu ya hovyo iliyojaa nchi hii, njia pekee ya kuirudisha kwenye mstari ni kuwabinya kwelikweli kiasi kwamba kila mtu atamani kuwa mlokole jinsi dhiki zitakavyowaandama. Kwa hili huwa namuunga mkono Magufuli ndiye Rais sahihi kwa mahitaji ya wakati na atakapoanza kuwatandika viboko watu wazembe kule ikulu mishipa ya fahamu ya wajinga wote itazibuka.
Chunga kauli yako wewe huyo magu wewe hujui jinsi anavyoendesha hii nchi
 
OMG....
Ntakujibu... After the aftermath....

Maana mataahira mko in plenty over here.
Sawa miye taahira kweli bwana dokta!unijibu likiisha saga!

Ila mi nakuheshimu siwezi kukuita taahira!
 
Huyo malaya Maimuna awahi haraka kwenye sala ya toba, Mungu hataniwi kiasi hiki kugeuza makanisa ya kilokole kuwa ndio kichaka cha wahuni.

Ndio maana najivunia ukatoliki wangu tunakunywa bia na maparoko wetu bila unafki na parokia zetu zina miradi ya social club ambazo bia zinauzwa bila unafiki tofauti na hii mijitu inayojiita milokole minafki kabisa
Hahaaaa!!!!! Hivi yupo kanisa gani??? Na huyo mchungaji ataishije na mke wa mtu wa ndoa tena ambaye hajapewa talaka
 
kama anayosema peter ni kweli . ...basi lawama kwa muna. kama mtoto wa castro kwa nini alikuwa anahudumiwa na peter?
kwa nini mtoto alikuwa anaitwa Patrick Peter?
kwa nini Peter wa watu akatwe bima ya mtoto wakati mtoto si wake?
kwa nini alipishwe ada?
na kwa nini hakumwambia castro mtoto anaumwa? castro anasema yeye taarifa za ugonjwa wa mtoto kazipata insta.
na kwa nini alikuwa hapokei simu za castro?.

matibabu na malezi mtoto atoe peter, mtoto anapewa castro....huko Nairobi kumuuguza mtoto alikwenda na bwana mwingine anayeitwa Joel.
Aiseee Kwa maswali haya muna anafaa
Aulizwe
 
Back
Top Bottom