Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Issue nzito hiyo aisee inaendana na utapeli pia hata kama itokee kweli jamaa sio baba yakeHuyo Zacharia atawashinda kabisa na huo mwili kamwe hautozikwa mpaka mahakama ifanye maamuzi....mtoto alizaliwa ndani ya ndoa na baba amekuwa akimuhudumia kabisa...
Hapa Zacharia lazima awashinde na mimi namshauri akaweke zuio mahakamani Muna asizike kabisa.....
Nitamshangaa sana Zakaria akikubali Muna azike mtoto ,atumie njia yeyote ile mtoto asizikwe mpaka ukweli ujulikane...ikiwezekana ni kuanzisha mtiti kama njia ya mahakama itashindikana....Hii itakuwa fundisho kwa wanawake wanaopenda kuuza miili yao bila kujali kitakacho tokea mbele....