Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Issue nzito hiyo aisee inaendana na utapeli pia hata kama itokee kweli jamaa sio baba yakeHuyo Zacharia atawashinda kabisa na huo mwili kamwe hautozikwa mpaka mahakama ifanye maamuzi....mtoto alizaliwa ndani ya ndoa na baba amekuwa akimuhudumia kabisa...
Hapa Zacharia lazima awashinde na mimi namshauri akaweke zuio mahakamani Muna asizike kabisa.....
Nitamshangaa sana Zakaria akikubali Muna azike mtoto ,atumie njia yeyote ile mtoto asizikwe mpaka ukweli ujulikane...ikiwezekana ni kuanzisha mtiti kama njia ya mahakama itashindikana....Hii itakuwa fundisho kwa wanawake wanaopenda kuuza miili yao bila kujali kitakacho tokea mbele....
Hata asingelisema ni lazima Peter Zacharia alitakiwa ashiriki kila hatua maana amekuwa akimuhudumia mtoto na mtoto alizaliawa ndani ya ndoa.....Nakuunga mkono hakukuwa na sababu ya yeye kusema mtoto ni wa nani kwa kipindi hiki saa ingine na busara itumike tu mdomo siku zote unaponza kichwa. Yeye a focus kwenye msiba wa mwanae na sio kuanza kujibu walimwengu kwenye social network haimsaidii kitu zaidi ya kumdhalilisha tu na kumuongezea machungu at the end hata u explain vipi people believe what they want to believe
You got a cold heart! SMHSasa wanaume na wanawake tutatofautishwa kwa mavazi...yaani sakata la muna liniumize moyo mimi huku Kimara? Katafute kazi ya kufanya utajikuta mambo ya watu wengine wala hayakusumbui
Masculine Heart.You got a cold heart! SMH
Ni kweli mkuu, dunia imejaa watu wa aina zote...wema na wabayausiogope mdogo wangu. Ila uwe mwangalifu sana sana. Usichague mke kwa kutumia kigezo kimoja eg uzuri, elimu nk. Fanya uchumba kwa muda umsome. Chunguza historia yake na ya familia yake. Kuna familia nyingine zina tabia na mila za ajabu sana.
Good Question......!!!!!Cheti cha ndoa ndo uthibitisho kuwa Ni mwanae?
si kweli kuna wamama wanakazwa kila siku na hajui mimba ya nani ndo matokeo ya kubambikia watuMama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Wewe na naniAisee kwa sisi wachaga hatuwezi kukubali mtoto wetu akazikwe na mama. Huyu muna ni tapeli wa mapenzi na pesa, mtoto ni mali ya baba. Na tutahakikisha tunampeleka moshi tukampumzishe mtoto wetu
Busara pekee ambayo anaweza tumia ni hii uliyo ipendekeza na itatulizA MIZUKA yote kinyume na hapo huyo mtoto atachelewa kuzikwa na hata akizikwa itakuwa chini ya ulinzi wa mabaunsa wa kukodi lakini lazima kwenye hili mahakama ndio pekee itatoa muongozo kabisa....hapa Muna atumie tu busara ashirikiane na mumewe wamzike mtoto.....kama nguo imeshamvuka kinachofuata ni kuchutama tu
Responding to emotions ni miongoni mwa hisia za kawaida kabisa kwa binadamu aliyekamilika, kukasirika, kufurahi, kuhuzunika, kucheka, kulia na kadhalika ni hisia za kawaida ambazo zipo naturally!Masculine Heart.
Wanaume in the real sense of being a MAN, hatuongozwi na emotions. Kama wewe ni wa kike ni sawa, maana ni sehemu ya kuwa mwanamke. Huyo marehemu anadhurika nini na haya masuala ya ngono za zamani za wazazi wake kiasi outsider kama wewe useme unaumia moyo as if mamaako ni mgonjwa hajiwezi?
Mkuu,hapo sasa kuna misiba miwili,huo bado ni ukomavu?Mkuu, mwanamke akikwambia neno siyo unalichukua 100 percent na kuact kama yeye alivyotaka wewe uact, sometime unatakiwa kuonesha ukomavu kwa sababu siku zote utabaki kuwa kichwa cha familia, Zacharia hata kama si biological father wa huyu mtoto, ameonesha ukomavu. Huwezi kususa maiti kisa mama kasema mtoto hakuwa wako!