Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Mama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Wakati mwingine wanakuaga hawana uhakika, hawa malaya kama Muna hulala hata na wanaume wa3 hadi wa4 kwa siku 2 tuu, ataacha kujichanganya?
Nna jirani yangu hapa yeye aliwaambia ukweli mabwana zake wasubiri mtoto azaliwe wakapime maana walipewa papuchi wote wakipishana saa 16,
 
Afadhali huyo kidogo akili kwa mbali zipo
 
Kama aliuza kwa nini amlazimishe PETER kutoa fedha. Mimi tungegawana majumba ya Serikali! Kumbe Ndo maana mtoto alikuwa akikuita Baba Peter maana kulikuwa na biological father pembeni

even though bado aliuza mechi
 
Petrol imepanda bei hili lilitakiwa kuangaliwa na kulijadili watu wako busy mtoto wa huyu au yule..sasa watapeleka wapi mwisho watazika tu
 
Petrol imepanda bei hili lilitakiwa kuangaliwa na kulijadili watu wako busy mtoto wa huyu au yule..sasa watapeleka wapi mwisho watazika tu
Mkuu kwani ukijadili kupanda bei ya petrol ndiyo bei itashuka?
 
Muna ni lidada la mjini, hapo limeshapiga hela na Steve kwa kuchangisha ramba ramba...halijali sintofahamu iliyopo wala heshima ya utu na ndoa na nafasi ya baba mzazi. hata km waliachana...aliyekuzalisha kakuzalisha na huna haki tuuu.
 
Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.
atulie ili Muna awe mshindi?? labda Peter sio mwanaume. mwanaume hashindwi.
 
Tatizo Mun kafanya msiba dili kwahyo hatumuachi.
 
Hao ndio wanawake " bwana "... nyie endeleeni kuoa ..tu "...
 
Kama alizaliwa ndani ya ndoa huyo ni wa kwake....
Hili jambo likipelekwa mahakamani Zacharia anaweza kuwashinda kabisa....
Jambo liko serious sana......... kuwa baba wa mtoto hakuishii kwenye kutoa mbegu tuuu
huyo "jamaa''' anashindwa" kuchanganua ...kitu kidogo kama hicho ...""kwani hajui mantiki ya kitanda hakizai haramu ""..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…