Hashpower7113
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,353
- 2,142
- Thread starter
- #121
Ni jambo jema sana kwa kweli!Aiseee....... Muna kachukua ushauri wako kakubali msiba uwe kwa baba wa mtoto Peter Zacharia.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo jema sana kwa kweli!Aiseee....... Muna kachukua ushauri wako kakubali msiba uwe kwa baba wa mtoto Peter Zacharia.....
Wakati mwingine wanakuaga hawana uhakika, hawa malaya kama Muna hulala hata na wanaume wa3 hadi wa4 kwa siku 2 tuu, ataacha kujichanganya?Mama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Afadhali huyo kidogo akili kwa mbali zipoWakati mwingine wanakuaga hawana uhakika, hawa malaya kama Muna hulala hata na wanaume wa3 hadi wa4 kwa siku 2 tuu, ataacha kujichanganya?
Nna jirani yangu hapa yeye aliwaambia ukweli mabwana zake wasubiri mtoto azaliwe wakapime maana walipewa papuchi wote wakipishana saa 16,
Kama aliuza kwa nini amlazimishe PETER kutoa fedha. Mimi tungegawana majumba ya Serikali! Kumbe Ndo maana mtoto alikuwa akikuita Baba Peter maana kulikuwa na biological father pembeni
Aiseee....... Muna kachukua ushauri wako kakubali msiba uwe kwa baba wa mtoto Peter Zacharia.....
Tunashukuru kuwa sasa haki imetendeka Baada ya Kikao Kizito, Hatimaye Muna Akubali Kupeleka Msiba kwa Petereven though bado aliuza mechi
Ni jambo jema sanaTunashukuru kuwa sasa haki imetendeka Baada ya Kikao Kizito, Hatimaye Muna Akubali Kupeleka Msiba kwa Peter
Mechi na auze kikubwa jamaa kagharamia kuzaa nini! Kulea bwana cc Ruta
Mkuu kwani ukijadili kupanda bei ya petrol ndiyo bei itashuka?Petrol imepanda bei hili lilitakiwa kuangaliwa na kulijadili watu wako busy mtoto wa huyu au yule..sasa watapeleka wapi mwisho watazika tu
atulie ili Muna awe mshindi?? labda Peter sio mwanaume. mwanaume hashindwi.Zacharia naye angejitulizia kimya sababu ndio matokeo ya kuoa mwanamke malaya, kama yeye mama mtu anasema sio mtoto wako yeye atulie, maana hapo Inategemea na busara za waungwana endapo tu wataamua kwa busara.
that's a cheap excuse. yaani umuachie tu yeye km nani na atakufanya nn uking'ang'ania?? mna waoverrate sana wanawake.Mwanamke akisema huyu mtoto sio wako,muachie!
nenda kaombe ajira bila cheti uone, hata useme umesomea Havard ...bila cheti ww ni fala tuCheti cha ndoa ndo uthibitisho kuwa Ni mwanae?
Tatizo Mun kafanya msiba dili kwahyo hatumuachi.wanaume ifike wakati tukubali kulea watoto tunaoletewa kwa kuwa hawa wanawake washaamua hivyo na ikifika wanawang'ang'ania basi tuwabe zawadi na hasa pale inapotokea mzazi mwenzio hakukuhusisha kwa matunzo au hakukwambia ukweli toka mwanzo.
tukumbuke kuwa tuna mbegu nyingi tumezitupa bila sababu hivyo isiwe dili kivile kama mtu kang'ang'ania mtoto wake na hasa katika atua za msiba.
vinginevyo mtoto kama ni wako ipo siku atarudi tu.
Thibitisha kisheria. maana kama ni kjua hata Mbuni anajua mayai yake kayaacha wapi huko kwenye savanna.Mama ndie hujua Baba wa mtoto ni nani
Kwahiyo una halalisha maneno ya huyo mwanamke kwa vigezo vipi, kwasababu tu kasema? poor youMkuu,utajilazimisha kuwa baba wa mtoto ambaye mama yake amekwambia wewe sio baba wa huyo mtoto?
Hao ndio wanawake " bwana "... nyie endeleeni kuoa ..tu "...Kweli nimeamniHawa wanawake wanaojichora Tatooo akili zao huwa wakienda chooni wanaziacha huko huko..... Kingenie nimejifunza kuwa Mwanamke kama huko nyuma alishawahi kuwa Malaya maisha yake yote hawezi kuacha Umalaya hata akiwa Nabii... Hii ndiyo aina ya Wanawake tulio nao mtaani.. Peter ni Mwanaume Jasiri sana na kwa umri wake wa 48 anachokifanya ni busara sana na anapashwa kuheshimika.
Kifupi Mwanamke Malaya ni Malaya tu.. Huyo Muinjirist anayetembea na Huyo Malaya naye imedhihirisha kuwa siku hizi Wakristo hawaheshimu tena Imani ya Kikistro... Iweje ukubali kuwa na mahusiano na Mwanamke ambaye aliolewa na hajawahi kupewa talaka?
Kwa kweli Mheshimiwa Rais endelea kukaza ilia Sura halisi za wanawake tuzione.
huyo "jamaa''' anashindwa" kuchanganua ...kitu kidogo kama hicho ...""kwani hajui mantiki ya kitanda hakizai haramu ""..Kama alizaliwa ndani ya ndoa huyo ni wa kwake....
Hili jambo likipelekwa mahakamani Zacharia anaweza kuwashinda kabisa....
Jambo liko serious sana......... kuwa baba wa mtoto hakuishii kwenye kutoa mbegu tuuu