Sakata la Mtoto wa Rose Nungu (MunaLove), Linaumiza Sana Moyo

Nimejaribu kutafakari kqa haraka haraka nimegundua kitu kikubwa sana ambacho ni chanzo cha hii mitafaruku yote katika hili suala lililotokea,Nimebaini akili ta huyu dada haiko sawa yaani ni MIRUKO sana.Huyu dada muna love ni bonge la malaya na hana msimamo kabisa,ni mtu wa maigizo maigizo sana na kiruka njia sijui hata wanavyosema mlokole maana picha alizokuwa anatupia mitandaoni na hiyo haiba yake ya ulokole ni differrent things.
 
Kwa nini hukumuacha?
NILIMUACHA YAPATA MIAKA SABA SASA AKAWA ANAWEKA GAPE KWA WATOTO NIKASUBIRIA MAANA NAJUA NI WANGU SASA MWANANGU WAMWISHO ALIZALIWA KIPINDI CHA UFUSKA WAKE NA HAPA NDIPO ILIPO PICHA.SASA KUONA KIMENUKA IKABIDI AMSAKIZIE MCHIZI KILE KITOTO,SASA MIMI NIKAWA NASUBIRIA KIZALIWE KUTOKA KIMEFANANA KILA KITU NA BIG DADY KASORO KENYEWE KANA KYUMA NI KAKIKE.MOYO UKATULIA ILA MSHIKAJI AKASHIKISHWA SASA SI UNAWAJUA MARIIO HAWAOGOPI HATA KUPIGILIWA MSUMARI PALIPO NA KITONGA.AKAUPOKEA MZIGO SASA NJAA SIO KITU KIZURI MAMBO YAMENASIA WATOTO WAMEMTAFUTA BABA NA MAMA ANAONA NDO MTEREMKO NIKAMWAMBIA BAKI NA KITUMBUA CHAKO NIACHIE NDIZI YANGU NA WATOTO WANGU.SASA TATIZO MCHIZI ANAAMINI YULE NI KID WAKE KWA HIYO ANAJITUTUA,MAMA KASHALIKOROGA ANASIKILIA LITAPASUKAJE MIMI NIMEKUNJA NNE NAKULA PAJA LA KUKU TUAMGALIE NANI ATAMALIZA MARATHON VIZURI,ILA MCHIZI MPASUKO WA KIBOGA UNAMNUKIA MAANA NIMEWAVUMILIA SANA.KUMBUKA WIFE NIMEISHI NAE KWA MIAKA KUMI NA SITA MILIMA NA MABONDE.
 
Pole mkuu.
Ukifanikiwa kupima itapendeza pia ujitahidi kutokufanya jambo is kujutia in case kikinuka.
 
fujo hamna ila siwezi kumwacha mtu ajitutumue mbele yangu sababu kama kutunza heshima nimetunza sana,na kujuta atajuta yeye.
 
Back
Top Bottom