Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

s
Hapa mwl anaenda kuwa VICTIM na hii Kwa sababu ni yeye ni mwalimu tu . Hio kazi Kila tabu utasukumiwa wewe hawatakupa raha kidogo.

Usikute napo kamezeshwa script.

Yule Binti anaonekana tu ni kashenzi kwa tabia.

Muda wote kwanini hakushtaki kwa uongozi wa shule.!?

Unabakwa halafu unakaa kimya miezi inapita.

Kwa ushahidi utathibitisha mwalimu jimnmy alimbaka huyu Binti akitoka kulalwa na muuza mkaa.

Walimu Wana Hali ngumu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app

Naona Kuna watu wana agenda zao kwenye hili sakata,trust me binti anayejua umuhimu wa shule hawezi kwenda kaa mtaani kwa baba Jose mwezi mzima ilhal si shule wala familia Ina taarifa🤣wamtafutie shule nyingine aendelee na masomo kama anania na kusoma kweli🤔mbali na hapo hasafishiki 🤣🤣🤣
kwani hili si lilishaisha kwamba alikuwa kwa baba Jose au
 
Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!

Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha wanafunzi!
Binti mwanafunzi kwakuwa alikuwa katoka kuoga akiwa na kanga alikabwa na mwl Jimmy akabakwa!
Baada ya hapo binti akaamua kutorokea mtaani hadi pale alipookotwa na muuza mkaa!

Ukiangalia kwa inje huyu binti unaweza kumuona ni anatabia za kimalaya Malaya huenda alimtega tega sana mwl Jimmy hata kumuahidi penzi lakini muda ulikuwa bado (playing around) yaan kama hataki nataka hadi pale mwl Jimmy akaamua kujichukulia ngono mkonononi! (Kama kweli)

Upande mwingine wa shilingi hata kama binti ni Malaya lakini ifike mahali wanaopewa dhamana hawastahili kuwa sehemu ya uharibifu!

1. Hata kama binti anadanganya je mwalimu Jimmy alifuata nini bwenini la wasichana wakati huwa kuna matron?
2. Hata kama binti anadanganya kwanini mwl atajwe tajwe?
3. Mwl Jimmy naye hatufai kabisa katika safari ya elimu ingawa kabinti kana umalaya lakini siyo sababu ya mwalimu kukiuka miiko ya ualimu
4. Yule binti tujiulize kwanini hajakwenda kwa mwalimu mkuu? Jibu ni jepesi tu HOFU, AIBU na kuhisi kutosikilizwa au kutopewa nafasi ya kusikilizwa huenda kulimfanya ajione hawezi kupata msaada!
5. Kwanini hakwenda kwa wazazi? Jibu ni lilelile hata wazazi wanajua tabia za kimalaya huenda mtoto aliona nako siyo pa kukimbilia sana pengine walimu walishawaambia wazazi mtoto mkaidi! N.k

Hivyo huyu binti pamoja na matatizo yake lakini haimuachi mwl Jimmy salama!

Huyo mwalimu Jimmy hafai kuitwa mwalimu hata kama wanafunzi ni Malaya!

Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo basi dakitali aone mama ananyege kumbe chango la uzazi tu
Kwa ushahidi unathibitisha kuwa mwalimu jimmy alimbaka huyo Binti.

Mtu yoyote anaweza sema wewe umebaka Jana ila kama Hana ushahidi ni kazi bure.

Kama kweli alibakwa na mwalimu ushahdi uletwe na hatua zichukuliwe.

Halafu vipi kuhusu BABA JOSE muuza mkaa . Naona wanataka kumtoa kwenge equation zigi wamuangushie mwalimu jimmy

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu aliesoma hadi kaingia ktk jukwaa hili la Great thinkers haitaji kuwa na PhD kujua kuwa huyo Mwanafunzi ni mfa maji tu. Kwa alichokifanya na anachoongea baada ya alichokifanya ni mbingu na ardhi. Kwanza alistahili ale viboko very classic. Ni mjinga, mchonganishi, na mfitinishi asiye na haya. Waliosomea psychology hawaangaiki na utumbo anaoongea. Ni mtoto wa hovyo sn.
 
Hata MWL awe chizi kiasi gani hawezi kumbaka Mwanafunzi bwenini siku ya shule … narudia hata awe chizi PRO MAx plus , HAIWEZEKANI … kubaka sio kitu rahisi ukicha ile kubaka kwa tafsiri ya kisheria , hii ya kutumia nguvu SI MCHEZO
 
Nimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq

Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy

Ila huyu dent ni malaya sana
 
Hata Mimi nimeshangaa mwalimu wa kiume anaingiaje bweni la wasichana.

Hakuna walimu wa kike au matrons.

Hako kabinti kashenzi kanataka kuharibu maisha wa mwalimu jimmy kwa tabia za kichefu chefu za kimalaya.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Nashindwa hata kuelewa,the same thing happened to me nikiwa form three,lakini haikuwa kwa mwalimu wa kiume,nilikua napitia bulliying kutoka kwa wanafunzi wenzangu,nikapachikiwa kesi,sikuwa na upendo na. Shule tena,halafu nilikua nasomeshwa na walezi tuu sio wazazi,nilitoroka shule nikaenda kwa rafiki yangu wa kike na ndio ulikua mwisho wa kusoma shule ile,niliongea na walezi wangu nikahamishwa nikaenda shule ambayo yale masomo niliyabutua kwelikweli.
 
Sasa ualimu nao kazi ya maana...umebutua sasa hivi mwalimu[emoji1][emoji1][emoji1] joking
 
Naona Kuna watu wana agenda zao kwenye hili sakata,trust me binti anayejua umuhimu wa shule hawezi kwenda kaa mtaani kwa baba Jose mwezi mzima ilhal si shule wala familia Ina taarifa[emoji1787]wamtafutie shule nyingine aendelee na masomo kama anania na kusoma kweli[emoji848]mbali na hapo hasafishiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora hata usemee wee, wanataka mwalimu wa watu aende jelaa, kisa kosa LA baba Jose.
 
Nimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq

Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy

Ila huyu dent ni malaya sana
Songea girls? Maposeni? Mpitimbi? Londoni? Nasuli? Peramiho girls? Namabengo??

Hata km bado huyu Esther ni muongoo mkubwaa.
 
Back
Top Bottom