Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

s

kwani hili si lilishaisha kwamba alikuwa kwa baba Jose au
 
Kwa ushahidi unathibitisha kuwa mwalimu jimmy alimbaka huyo Binti.

Mtu yoyote anaweza sema wewe umebaka Jana ila kama Hana ushahidi ni kazi bure.

Kama kweli alibakwa na mwalimu ushahdi uletwe na hatua zichukuliwe.

Halafu vipi kuhusu BABA JOSE muuza mkaa . Naona wanataka kumtoa kwenge equation zigi wamuangushie mwalimu jimmy

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kwa mtu aliesoma hadi kaingia ktk jukwaa hili la Great thinkers haitaji kuwa na PhD kujua kuwa huyo Mwanafunzi ni mfa maji tu. Kwa alichokifanya na anachoongea baada ya alichokifanya ni mbingu na ardhi. Kwanza alistahili ale viboko very classic. Ni mjinga, mchonganishi, na mfitinishi asiye na haya. Waliosomea psychology hawaangaiki na utumbo anaoongea. Ni mtoto wa hovyo sn.
 
Hata MWL awe chizi kiasi gani hawezi kumbaka Mwanafunzi bwenini siku ya shule … narudia hata awe chizi PRO MAx plus , HAIWEZEKANI … kubaka sio kitu rahisi ukicha ile kubaka kwa tafsiri ya kisheria , hii ya kutumia nguvu SI MCHEZO
 
Nimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq

Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy

Ila huyu dent ni malaya sana
 
Hata MWL awe chizi kiasi gani hawezi kumbaka Mwanafunzi bwenini siku ya shule … narudia hata awe chizi PRO MAx plus , HAIWEZEKANI … kubaka sio kitu rahisi ukicha ile kubaka kwa tafsiri ya kisheria , hii ya kutumia nguvu SI MCHEZO
Hata Mimi nimeshangaa mwalimu wa kiume anaingiaje bweni la wasichana.

Hakuna walimu wa kike au matrons.

Hako kabinti kashenzi kanataka kuharibu maisha wa mwalimu jimmy kwa tabia za kichefu chefu za kimalaya.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Nashindwa hata kuelewa,the same thing happened to me nikiwa form three,lakini haikuwa kwa mwalimu wa kiume,nilikua napitia bulliying kutoka kwa wanafunzi wenzangu,nikapachikiwa kesi,sikuwa na upendo na. Shule tena,halafu nilikua nasomeshwa na walezi tuu sio wazazi,nilitoroka shule nikaenda kwa rafiki yangu wa kike na ndio ulikua mwisho wa kusoma shule ile,niliongea na walezi wangu nikahamishwa nikaenda shule ambayo yale masomo niliyabutua kwelikweli.
 
Sasa ualimu nao kazi ya maana...umebutua sasa hivi mwalimu[emoji1][emoji1][emoji1] joking
 
Bora hata usemee wee, wanataka mwalimu wa watu aende jelaa, kisa kosa LA baba Jose.
 
Songea girls? Maposeni? Mpitimbi? Londoni? Nasuli? Peramiho girls? Namabengo??

Hata km bado huyu Esther ni muongoo mkubwaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…