Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kuna ka ukweli hapa.Mwalimu Jimmy hana tatizo...
Huyo Esther ni wale "Difficult Students", na hii haikuwa mara yake ya kwanza kutoroka shule..
Hapa wameungana wazazi na mtoto kuichafua shule na mwalimu kwa sababu wanajua hawezi kurudi pale tena.
Ni kweli lakini asikilizweKwa mtu aliesoma hadi kaingia ktk jukwaa hili la Great thinkers haitaji kuwa na PhD kujua kuwa huyo Mwanafunzi ni mfa maji tu. Kwa alichokifanya na anachoongea baada ya alichokifanya ni mbingu na ardhi. Kwanza alistahili ale viboko very classic. Ni mjinga, mchonganishi, na mfitinishi asiye na haya. Waliosomea psychology hawaangaiki na utumbo anaoongea. Ni mtoto wa hovyo sn.
Hana bikiraVipimo vya hospitali vinasemaje?
Rudia kusomaMaswali yako hayajakaa vizuri.Yameegemea zaidi upande mmoja wa kumkandamiza mwalimu.Ungeanza na swali dogo kua hivi inawezekana vip mtu akimbie kubakwa na mwalimu ambaye yuko chini ya taratibu zote za kisheria nakiserikali alafu akimbilie kukaa unyumba kwa mtu wa mtaani.Lakini pia muda aliokaa kwa muuza mkaa sio muda wa mtu anayehitaji msaada baada yauko alikotoka kuona hawezi kupata msaada.
Huenda kalikuwa kanamtega lakini swali mwalimu Jimmy alifuata nn kwenye mabweni ya watoto wa kike?Hata MWL awe chizi kiasi gani hawezi kumbaka Mwanafunzi bwenini siku ya shule … narudia hata awe chizi PRO MAx plus , HAIWEZEKANI … kubaka sio kitu rahisi ukicha ile kubaka kwa tafsiri ya kisheria , hii ya kutumia nguvu SI MCHEZO
Vp na wwe!? Ulikaza au uliachia goal teacher akafunga!!??Nimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq
Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy
Ila huyu dent ni malaya sana
Ndiyo maana nikasema hata kama binti ni Malaya lakini mwalimu Jimmy hatufai kwenye malezi ya watoto! Nasimama kama mzazi!Vp na wwe!? Ulikaza au uliachia goal teacher akafunga!!??
😄😁😆😅😂🤣Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!
Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha wanafunzi!
Binti mwanafunzi kwakuwa alikuwa katoka kuoga akiwa na kanga alikabwa na mwl Jimmy akabakwa!
Baada ya hapo binti akaamua kutorokea mtaani hadi pale alipookotwa na muuza mkaa!
Ukiangalia kwa inje huyu binti unaweza kumuona ni anatabia za kimalaya Malaya huenda alimtega tega sana mwl Jimmy hata kumuahidi penzi lakini muda ulikuwa bado (playing around) yaan kama hataki nataka hadi pale mwl Jimmy akaamua kujichukulia ngono mkonononi! (Kama kweli)
Upande mwingine wa shilingi hata kama binti ni Malaya lakini ifike mahali wanaopewa dhamana hawastahili kuwa sehemu ya uharibifu!
1. Hata kama binti anadanganya je mwalimu Jimmy alifuata nini bwenini la wasichana wakati huwa kuna matron?
2. Hata kama binti anadanganya kwanini mwl atajwe tajwe?
3. Mwl Jimmy naye hatufai kabisa katika safari ya elimu ingawa kabinti kana umalaya lakini siyo sababu ya mwalimu kukiuka miiko ya ualimu
4. Yule binti tujiulize kwanini hajakwenda kwa mwalimu mkuu? Jibu ni jepesi tu HOFU, AIBU na kuhisi kutosikilizwa au kutopewa nafasi ya kusikilizwa huenda kulimfanya ajione hawezi kupata msaada!
5. Kwanini hakwenda kwa wazazi? Jibu ni lilelile hata wazazi wanajua tabia za kimalaya huenda mtoto aliona nako siyo pa kukimbilia sana pengine walimu walishawaambia wazazi mtoto mkaidi! N.k
Hivyo huyu binti pamoja na matatizo yake lakini haimuachi mwl Jimmy salama!
Huyo mwalimu Jimmy hafai kuitwa mwalimu hata kama wanafunzi ni Malaya!
Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo basi dakitali aone mama ananyege kumbe chango la uzazi tu
Kidato cha tano hajielew?Mnampa attention sana huyo binti
Umri huo huwa awajielewi (foolish age)
Huko ndo tutaongeza mashoga mtaani.Ahamishiwe shule ya wavulana tu
Hakuna ushahidi wa kumfunga mwalimu Jimmy! Pia hakuna ushahidi wa moja kwa moja kumfunga muuza mkaa Bali kuna tuhuma za watu hao kutokuwajibika kama wazazi!Huko ndo tutaongeza mashoga mtaani.
Mwl Jimmy na Huyo Muuza mkaa wachukuliwe hatua full stop.
Wote waondolewe mtaani pia nasimama km mzaziHakuna ushahidi wa kumfunga mwalimu Jimmy! Pia hakuna ushahidi wa moja kwa moja kumfunga muuza mkaa Bali kuna tuhuma za watu hao kutokuwajibika kama wazazi!
Huyo binti anaumri wa miaka zaidi ya 18 muuza mkaa kumpa hifadhi hakudhibitishi moja kwa moja walijamiiana! Hivyo muuza mkaa atatuhumiwa kwa kosa la kuishi na mtu asiye ndugu yake pasipo kutoa taarifa polisi, mjumbe au wazazi ( kosa la muuza mkaa ni kushiriki katika utoroshaji ) kosa lina dhamana!
Mwalimu Jimmy pia hakuna ushahidi wa kumkamata lakini kwa tuhuma hizo siyo za afya kwa watoto waliobakia pale! Hivyo mwalimu Jimmy aondolewe haraka, hata uongozi wa shule akiwemo mwl mkuu unastahili kubadilishwa!!.
Hakuna miiko ya mwalimu wa kiume kuingia mabweni ya wanaschana!
Nasimama kama mzazi
Hakuna mwanafunzi pale eti kabakwa katoroka kaokotwa na muuza mkaaa
Anajua kubakwa huyoo?!!
Mmhhh
Mi nachojua mabweni ya kike Kuna matron wao. Kwa shule kubwa ka pandahil haingii akilini kukosa matron Hadi mwalim jimmy aingie kwenye bweni la kike. Kuna Jambo hapo halipo sawa.Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!
Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha wanafunzi!
Binti mwanafunzi kwakuwa alikuwa katoka kuoga akiwa na kanga alikabwa na mwl Jimmy akabakwa!
Baada ya hapo binti akaamua kutorokea mtaani hadi pale alipookotwa na muuza mkaa!
Ukiangalia kwa inje huyu binti unaweza kumuona ni anatabia za kimalaya Malaya huenda alimtega tega sana mwl Jimmy hata kumuahidi penzi lakini muda ulikuwa bado (playing around) yaan kama hataki nataka hadi pale mwl Jimmy akaamua kujichukulia ngono mkonononi! (Kama kweli)
Upande mwingine wa shilingi hata kama binti ni Malaya lakini ifike mahali wanaopewa dhamana hawastahili kuwa sehemu ya uharibifu!
1. Hata kama binti anadanganya je mwalimu Jimmy alifuata nini bwenini la wasichana wakati huwa kuna matron?
2. Hata kama binti anadanganya kwanini mwl atajwe tajwe?
3. Mwl Jimmy naye hatufai kabisa katika safari ya elimu ingawa kabinti kana umalaya lakini siyo sababu ya mwalimu kukiuka miiko ya ualimu
4. Yule binti tujiulize kwanini hajakwenda kwa mwalimu mkuu? Jibu ni jepesi tu HOFU, AIBU na kuhisi kutosikilizwa au kutopewa nafasi ya kusikilizwa huenda kulimfanya ajione hawezi kupata msaada!
5. Kwanini hakwenda kwa wazazi? Jibu ni lilelile hata wazazi wanajua tabia za kimalaya huenda mtoto aliona nako siyo pa kukimbilia sana pengine walimu walishawaambia wazazi mtoto mkaidi! N.k
Hivyo huyu binti pamoja na matatizo yake lakini haimuachi mwl Jimmy salama!
Huyo mwalimu Jimmy hafai kuitwa mwalimu hata kama wanafunzi ni Malaya!
Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo basi dakitali aone mama ananyege kumbe chango la uzazi tu
Yule binti mwanafunzi aliyepotea!

Umetoa sababu za kutokwenda kwa mwalimu mkuu na kwa wazazi wake lakini hujatoa sababu ya binti kwenda kwa baba Jose mchoma mkaaYule binti mwanafunzi aliyepotea!