Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Hiyo avatar Ni weweNimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq
Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy
Ila huyu dent ni malaya sana
Acheni chuki kwa walimuu.Mfate umpooze
Mi nimekulia familia ya walimu zaidi ya 7.Acheni chuki kwa walimuu.
Uongo mtupuuuMi nimekulia familia ya walimu zaidi ya 7.
Tatizo ni hivi vijimwalimu vya sasa hivi.
Sijui mwl Jimmy huyu kamfanya kitu huyo binti si bure mpk akimbilie kwa muuza mkaa.
Alikua analazimisha penzi sempre.
Toa ukweli mwl JimmyUongo mtupuuu
Ni ajabu eti bwenini wewe peke yako ndo uchelewe kutoka ani?haiingii akiliniJe,mwalimu alienda bwenini? Kama alienda alikuwa na nani? Wanafunzi wengine wanasemaje?
Ila baba josse anawajibika kufanyajee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu bhanaUsiniulize maswali, hunilipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jibu bhana
Ndivyo walivyo hao mkuu, yaani tabu tupu.Yaan unaweza kuta upo sahihi kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata character ikiwa relevant to the fact in issue?Sasa hii inanzuia mwalimu Jimmy kubaka? Katika Sheria ya ushahidi ,tabia ya mtu huwa haitumiki kama ushahidi.Aje mwalimu aseme ya upande wake,tupime Actus reus na mens Rea.
Jitahidi ufatilie historia ya binti akiwa o level ujue kama hilo ni tukio lake la kwanza au la!Elewa kiswahili binti hakuwa bikira unatakaa achechemee kwa lipi!
Kumuuingilia mtu pasipo lidhaa yake hata kama barmaid au kahaba ni ukatili mkubwa!
Hata kama hakuna ushahidi mwalimu Jimmy hafai kulea watoto!
Pia uongozi wa shule nao hauaminiki ubadilishwe!
Hata kama lingekuwa la kumiJitahidi ufatilie historia ya binti akiwa o level ujue kama hilo ni tukio lake la kwanza au la!
Pia jitahidi sana uifahamu shule ya pandahili kwa undani,
Ukiweza pata hata mawili matatu kuhusu mlezi wa yule binti,,
Ukipata majibu leta tena uzi wako hapa,
Balaa kubwaa,Dah! Kama kitoto hiki kinampakazia basi ndio kishetwaniii tukisikiachooo.Ukweli haunaga haraka, utajulikana tu
Balaa kubwaa,Dah! Kama kitoto hiki kinampakazia basi ndio kishetwaniii tukisikiachooo.
Watoto wa kike ndo walivyo mkuu kupretend...ukiwajua hawakusumbui..bora boys than girls..vinajikuta vina akili..kumbe hakuna kituNina mdogo wangu ana vitabia kama vya huyo binti, hawa madogo wakianza kuukalia hufanya lolote ilimradi tu akaukalie.
Yule dogo alikua ni pretender mzuri mnoo, kama wewe ni mgeni na ukaambiwa/ ulikua unaskia tuhuma zake ukaja kumuona live huwezi kuamini, kwanza utahisi anaonewa.
Yaani hapo unawezakuta hao wote wameangushiwa jumba bovu ila kuna mnyoa kiduku ndo alikua kwake ila anamlinda coz akimtaja ataonekana wa ajabu.
🥰📌Huyo
Binti hatofika mahala na laana za umalaya zitamtafuna.
Hata huko anakoenda hatokua na amani sababu laana ya umalaya itamtafuna.
Ningewaona wenye akili kama hili suala lingeisha baada ya binti kupatikana ila kwakua wameamua kuliibua kwenye media kwa kumchafua mwalimu jimmy na shule kwa ujumla basi laana ipo pamoja nao