Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Nimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq

Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy

Ila huyu dent ni malaya sana
Hiyo avatar Ni wewe
 
Huyu ana lengo la kumkomesha jimmy inaonekana anamfatilia fatilia ,inawezekana pia kuna mtu nyuma yake si ajabu akawa mwalimu mwenzio,walio nao masnich hatari.
Mi nadhani kama taifa tuna mambo mengi ya msingi ya kujadili kuliko hili nungaembe.
Malaya alafu ubakwe?kwani alikuwa bikira kwamba iliondolewa?

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Acheni chuki kwa walimuu.
Mi nimekulia familia ya walimu zaidi ya 7.
Tatizo ni hivi vijimwalimu vya sasa hivi.
Sijui mwl Jimmy huyu kamfanya kitu huyo binti si bure mpk akimbilie kwa muuza mkaa.
Alikua analazimisha penzi sempre.
 
Mwl jimmy atakuwa mwalimu makini anayefuatilia sana wanafunzi kwa Nia njema lkn haka ka ESTA ni kamalaya na kanamchukia huyo mwl jimmy kwa ufuatiliaji wake hivyo hapo limeundwa zengwe
 
Yaan unaweza kuta upo sahihi kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo walivyo hao mkuu, yaani tabu tupu.
Yule dogo alikua na vituko ajabu, alikua ni mentor wa wadada wa kazi. Dada wa kazi akifika tu basi yeye anakua kuwadi wake, yote hiyo ili huyo dada awe na madhambi ili nae alindwe.
 
Elewa kiswahili binti hakuwa bikira unatakaa achechemee kwa lipi!

Kumuuingilia mtu pasipo lidhaa yake hata kama barmaid au kahaba ni ukatili mkubwa!

Hata kama hakuna ushahidi mwalimu Jimmy hafai kulea watoto!
Pia uongozi wa shule nao hauaminiki ubadilishwe!
Jitahidi ufatilie historia ya binti akiwa o level ujue kama hilo ni tukio lake la kwanza au la!
Pia jitahidi sana uifahamu shule ya pandahili kwa undani,
Ukiweza pata hata mawili matatu kuhusu mlezi wa yule binti,,
Ukipata majibu leta tena uzi wako hapa,
 
Jitahidi ufatilie historia ya binti akiwa o level ujue kama hilo ni tukio lake la kwanza au la!
Pia jitahidi sana uifahamu shule ya pandahili kwa undani,
Ukiweza pata hata mawili matatu kuhusu mlezi wa yule binti,,
Ukipata majibu leta tena uzi wako hapa,
Hata kama lingekuwa la kumi
 
Bint kaona bora ampe muuza mkaa,mw jimmy anakiba100 na hasimanii show ipasavyo [emoji23][emoji23]
 
Nina mdogo wangu ana vitabia kama vya huyo binti, hawa madogo wakianza kuukalia hufanya lolote ilimradi tu akaukalie.

Yule dogo alikua ni pretender mzuri mnoo, kama wewe ni mgeni na ukaambiwa/ ulikua unaskia tuhuma zake ukaja kumuona live huwezi kuamini, kwanza utahisi anaonewa.

Yaani hapo unawezakuta hao wote wameangushiwa jumba bovu ila kuna mnyoa kiduku ndo alikua kwake ila anamlinda coz akimtaja ataonekana wa ajabu.
Watoto wa kike ndo walivyo mkuu kupretend...ukiwajua hawakusumbui..bora boys than girls..vinajikuta vina akili..kumbe hakuna kitu
 
Huyo

Binti hatofika mahala na laana za umalaya zitamtafuna.
Hata huko anakoenda hatokua na amani sababu laana ya umalaya itamtafuna.
Ningewaona wenye akili kama hili suala lingeisha baada ya binti kupatikana ila kwakua wameamua kuliibua kwenye media kwa kumchafua mwalimu jimmy na shule kwa ujumla basi laana ipo pamoja nao
🥰📌
 
Back
Top Bottom