Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Hiyo avatar Ni weweNimesoma Advance mkoa wa rivuma shule X kuna mwalimu alikuwa akimpemda mwanafunzi wa darasani lazima ampate na kama hatamkosa basi lazima binti huyo aish maisha ya tabu school
Kuna dada( jina kapuni) alikaza sana mwisho wa siku kwa mateso aliyoyapata akachomoa....
Tabia hizi zipo shuleni
Ila huyo mwalimu kuna kama kitu anatengenezewq
Ushauri
Wanafunzi wanajua mengi sana yanayo3ndelea shule
Wakiojiwa kwa umakini kila kitu kitajulikana kuhusu mwalimu Jimmy
Ila huyu dent ni malaya sana