Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

Unashindwa kujua case ya msingi apa ni nn?!
Mtoto kubakwa ama sio?!
Hayo ambayo unayoyataka ww kwmb alitakiwa kufanya nn baada ya tukio hilo ni baadae..

What if mfumo wa shule sio rafiki kwa wanafunzi kureport case km iyo?!

What if imewah kutokea before mwanafunz kureport na hamna kilichofnyika?!
Ndo mana kuna haya ya case hii kufika mahakamani km wazaz wa dogo walivyoomba!!

Na kwa baba Jose km bado yuko hai mpk sasa nae atawajibika mana ametake advantage kumrubuni dogo akijua ni mwanafunzi na hata km hakujua ilipaswa kufatilia kabla ya kuishi nae

Umeyaconsider haya we fuvu?!
Kesi ya msingi ilikua ni mtoto ametoroka shule then amekutwa kwa baba jose hili la kubakwa limekuja baada ya siku kadhaa ambayo inaonekana ni njia tu ya kujitetea ndio mana tunaangalia angefanya nini baada ya kubakwa na mwalimu na sio alichofanya yeye ambacho kinaleta wasiwasi kuamini asemacho.
Hatuna haja ya kumhukumu mwalimu jimmy bila ukweli kufahamika mara ngapi wanafunz wa kike wanawasingizia mimba watu wengine ikiwa wamepewa na watu wengine? Mara ngapi wanafunzi watukutu hua na chuki kwa walimu wanaofuatilia maadili ipasavyo kufikia hadi kupigana nao?
Hilo fuvu inatakiwa liwe na ubongo sio hizo kamasi
 
Huyo
Naona Kuna watu wana agenda zao kwenye hili sakata,trust me binti anayejua umuhimu wa shule hawezi kwenda kaa mtaani kwa baba Jose mwezi mzima ilhal si shule wala familia Ina taarifa🤣wamtafutie shule nyingine aendelee na masomo kama anania na kusoma kweli🤔mbali na hapo hasafishiki 🤣🤣🤣
Binti hatofika mahala na laana za umalaya zitamtafuna.
Hata huko anakoenda hatokua na amani sababu laana ya umalaya itamtafuna.
Ningewaona wenye akili kama hili suala lingeisha baada ya binti kupatikana ila kwakua wameamua kuliibua kwenye media kwa kumchafua mwalimu jimmy na shule kwa ujumla basi laana ipo pamoja nao
 
Taarifa hizo, zipo mitandaoni kama zilivyo hizi
Narudia tena acha bangi,taarifa za huyo dogo sio tetesi tena km zilivyo zngne za mitandaoni mana kapatikana na ni kweli ni mwanafunzi na kafanyiwa interview rasmi na wazaz wake wakiwepo na case iko njiani kwenda mahakamani..
 
Kesi ya msingi ilikua ni mtoto ametoroka shule then amekutwa kwa baba jose hili la kubakwa limekuja baada ya siku kadhaa ambayo inaonekana ni njia tu ya kujitetea ndio mana tunaangalia angefanya nini baada ya kubakwa na mwalimu na sio alichofanya yeye ambacho kinaleta wasiwasi kuamini asemacho.
Hatuna haja ya kumhukumu mwalimu jimmy bila ukweli kufahamika mara ngapi wanafunz wa kike wanawasingizia mimba watu wengine ikiwa wamepewa na watu wengine? Mara ngapi wanafunzi watukutu hua na chuki kwa walimu wanaofuatilia maadili ipasavyo kufikia hadi kupigana nao?
Hilo fuvu inatakiwa liwe na ubongo sio hizo kamasi
Aisee ko ww unadhani mahakamani wanaenda kujadili mtoto kutoroka ama mtoto kubakwa eti ww binadamu mwny ubongo
 
Ila hawa watoto wa kike ni mtihaniii!! Kuna mwanafunzi kidogo amfunge mwalimu kwa kumsingizia ujauzito aliopewa na bodaboda.
Na siku hizi imekuwa trend.

Mimba anapewa na mchimbachumvi wa kitaa huko jumba bovu anamuangishia mwalimu wake.

Wanaharakati na wanasiasa watalishikilia bango hutoamini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mwanafunzi pale eti kabakwa katoroka kaokotwa na muuza mkaaa
Anajua kubakwa huyoo?!!
Mmhhh
Sasa hii inanzuia mwalimu Jimmy kubaka? Katika Sheria ya ushahidi ,tabia ya mtu huwa haitumiki kama ushahidi.Aje mwalimu aseme ya upande wake,tupime Actus reus na mens Rea.
 
Hapa mwl anaenda kuwa VICTIM na hii Kwa sababu ni yeye ni mwalimu tu . Hio kazi Kila tabu utasukumiwa wewe hawatakupa raha kidogo.

Usikute napo kamezeshwa script.

Yule Binti anaonekana tu ni kashenzi kwa tabia.

Muda wote kwanini hakushtaki kwa uongozi wa shule.!?

Unabakwa halafu unakaa kimya miezi inapita.

Kwa ushahidi utathibitisha mwalimu jimnmy alimbaka huyu Binti akitoka kulalwa na muuza mkaa.

Walimu Wana Hali ngumu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Je,mwalimu alienda bwenini? Kama alienda alikuwa na nani? Wanafunzi wengine wanasemaje?
 
Ile kanga anbayo Esther anadai mwalimu Jimmy alipigia bao,iletwe watu wa forensic wapige kazi .
 
Kazi ya ualimu ni ngumu sana tena ualimu wa level zote unaweza kuwa unafundisha zako huna hili Wala lile maisha yanasonga ilaa shuleni au chuoni kuna habari kuwa unatoka na mwanafunzi x au unamtaka mwanafunzi y na hujawahi kuwaza au kufikilia kuwa nae.
 
Kama ni mzazi unaye jua kulea mtoto mwenye nidhimu hawezi fanya ujinga huo .Huyo mtoto ni malaya anaye chipukia kwa kasi kama angebakwa si angeenda nyumbani ndo kwanza kaenda kugawa vizuri hakuna mtu hapo
 
Hakuna serikali duniani inayofanya maamuzi km hayo unayofikiria mzee,kwa serikali huyo ni mwanafunzi ,mtu yyte anaedhibitika kumharass mtoto duniani kote huwa ni adui wa kila mwananchi bila kujali tabia za mtoto huyo mfn R kelly kwa US.

Kwa namna yyte Mwl Jimmy na Baba Jose wanatakiwa kuwajibika kwa miaka mingi ndani ikidhibitika wamefanya ivyo,

Ndo mana serikali ikaweka kikomo cha viboko viwili km adhabu kwa watoto ama suspension ya muda stahiki
Ndiyo maana nikasema kwa "mtu aliyesoma na kujiunga na great thinkers haitaji PhD". Pia nimesema kwa "waliosomea psychology;. Bila siasa hapa kwa huyo mtoto hakuna kesi hata chembe na nina uhakika Jimmy yupo kazini na ataendelea na kazi. Kinyume chake ni Jimmy kufungua kesi ya kuchafuliwa na huyo Mwanafunzi na kukaziwa na wazazi wake. Sheria ni ngumu km hujui. Usidhani Jimmy hatasikilizwa kisa huyo Mwanafunzi tena above 18 yrs old eti kaongea. Let's wait.
 
Kama ni mzazi unaye jua kulea mtoto mwenye nidhimu hawezi fanya ujinga huo .Huyo mtoto ni malaya anaye chipukia kwa kasi kama angebakwa si angeenda nyumbani ndo kwanza kaenda kugawa vizuri hakuna mtu hapo
Kuna baadhi humu wanamtetea huyo Mwanafunzi na kumlaum Jimmy. Sjui km wamesoma seminary au mbinguni. Tuliosoma kikawaida tunawajua vizuri wanafunzi ndiyo maan wengi tunasema huyo Mwanafunzi ni hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom