Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Yale yale lawama zinaenda kwa wasaidizi wake na yeye anafanywa kuwa hahusiki na wala hawajibiki kwa yanayoendelea na hana nguvu ya kufanya lolote.KUHUSU UKIMYA WA RAIS SAMIA;
NduguTz
mbongo, huyu mama
angekuwa yupo, angeshafanya
intervention...
Lakini kitendo cha yeye kuwa
kimya tuu ni aidha hayupo au
amekubaliana na uhuni huu
uliofanywa na watendaji wake.
So na yeye ni part ya uhuni
huu..!
KUHUSU MAGUFULI KULAUMIWA:
Lawama zingeenda kwa nani
sasa? Alinyooshewa kidole
(kulaumiwa) kwa sababu yeye
ndiye alikuwa Rais...
Lakini hilo lijamaa (li -
mwendazake) siyo kwamba
lilikuwa baya na la hovyo
kuanzia utosini hadi nyayoni...,
La hasha..!
Kuna maeneo lilikuwa janja
sana. Lilikuwa likiona hatari
mbaya mbele yake, haraka
sana liligeuka na kui - overturn
hatari hiyo...
I am sure hata hili la Kikokotoo
cha nyongeza ya mishahara, li
- Mwendazake lingeshaibuka
kitambo na kutoa amri so long
as lenyewe lina - mantain
political popularity yake...
Yaani li - mwendazake na timu
yake, lilikuwa lina - create tatizo
kisha chaos halafu linaibuka
from nowhere & unexpectedly
kutoa solution lengo likiwa
kupata umaarufu wa kisiasa...
Mfano ishu ya Kikokotoo ya
mafao ya wastaafu lilifanyaga
timing ya dizaini fulani hivi
amazing. Ikatangazwa na kisha
taharuki ya nguvu ikazuka.
Jamaa hapa hapo akaibuka na
kupiga stop..
Wastaafu waliokuwepo na wale
watarajiwa wakashangalia
sana na likapata pointi 3 za
bure kabisa za umaarufu wa
kisiasa toka kwa wasiofahamu
propaganda za kisiasa...
Lakini huyu mama ni kama
yupo kwenye usingizi fulani hivi
mzito wa kichawi huku kina
Makamba na Mwigulu
Nchemba wakim - outsmart
kisiasa kila kukicha kiasi cha
kuonekana tuna Rais
mwanamke mwongo na
mzushi tu kwa watanzania na
asiyejiamini...
Kwa kifupi, kina Mwigulu
Nchemba na Jenista Mhagama
wamem - discredit kwa
kiwango kikubwa sana Rais
Samia kwenye ishu ya 23.3%...
Wanamfanya asiaminike
kabisa kwa umma kwa sbb ya
kauli na matendo yake
kutowiana...!
Sasa mkuu rais wa aina hiyo wa nini sasa?