Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Kwamba moja ya shart ni kula tigo?Nahisi jamaa alichoka kufuata masharti.... tigo zinachosha
Yasemayo yapoporojo kama porojo nyingine
mambo ya illuminati mnayajulia wapi ikiwa si wanachama
kwenye stori za porojo naskia jay z ana cheo kikubwa leo kwenye stori za porojo jay z alipewa dolla m100 mkewe angongwe na diddy
hapa ni porojo tupu hakuna ajuaye
porojo mkuu kwamba jay z hana huo mpunga hadi adate naoYasemayo yapo
dolla m100 unajua n sh ngap??
100m$= 2500* 100m$
= 250,000m
=250,000,000,000/=
=Bilion 250
Inavyosemwa...hivi mtu na akili zako timam kweli, unaweza kumkunja Burna boy na sura ilekwamba moja ya shart ni kula tigo?
Sasa huyu mwamba yeye pesa hizo huzitoa wapi maana sio mmoja wengi wametajwa kugongwa na kupewa kiasi kikubwa cha fedha???Yasemayo yapo
dolla m100 unajua n sh ngap??
100m$= 2500* 100m$
= 250,000m
=250,000,000,000/=
=Bilion 250
Bullshit ...Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy.
Maswali ya kujiuliza: Je, n Pdidy alikua pekee yake HAPANA. Kuna watu wengi mabilionea waliokua wanamsaidia kuandaa hizo party na ku-cover hayo maushenzi yake miaka yote.
Kwanini sasa? Lazima kuna sehemu kawazingua wanamuonesha makali.
Tabia za Pdidy ndio tabia za matajiri au mabillionear wengi na bado zinaendelea. Hawa watu maarufu ndo wanayokutana nayo ila hawana kwa kusema kwasababu netwok zao ziko kila mahali.
ndio nnBullshit ...