Sakata la P Diddy: Amekosea wapi na kwanini sasa?

Sakata la P Diddy: Amekosea wapi na kwanini sasa?

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy.

Maswali ya kujiuliza: Je, n Pdidy alikua pekee yake HAPANA. Kuna watu wengi mabilionea waliokua wanamsaidia kuandaa hizo party na ku-cover hayo maushenzi yake miaka yote.

Kwanini sasa? Lazima kuna sehemu kawazingua wanamuonesha makali.

Tabia za Pdidy ndio tabia za matajiri au mabillionear wengi na bado zinaendelea. Hawa watu maarufu ndo wanayokutana nayo ila hawana kwa kusema kwasababu netwok zao ziko kila mahali.
 
porojo kama porojo nyingine

mambo ya illuminati mnayajulia wapi ikiwa si wanachama

kwenye stori za porojo naskia jay z ana cheo kikubwa leo kwenye stori za porojo jay z alipewa dolla m100 mkewe angongwe na diddy

hapa ni porojo tupu hakuna ajuaye
 
Yasemayo yapo
dolla m100 unajua n sh ngap??

100m$= 2500* 100m$
= 250,000m
=250,000,000,000/=
=Bilion 250
 
Inawezekana lengo lao lilikuwa ni kugeuza baadhi ya wanaume duniani wawe na tabia za kike, kwa sababu wameshalitimiza hilo kuna uwezekano wanataka waende hatua nyingine iliyopelekea labda kutokuelewana. Kwa kifupi hakuna hela ya bure, ata anayetoa sadaka anategemea apate muujiza.​
 
Kila mtu anazungumza la kwake,lakini kwa mtizamo wangu,naona kabisa hakuna hizo imani zizodaiwa kushawishi watu kuingilia wanaume wengine ili wapate utajiri,hakuna kabisa,tabia ya p -didy na wenzake ni tabia zao binafsi ambazo waliziendeleza wao wenyewe,na asisingiziwe shetani. Kama ni shetani mbona imechukuwa miaka mingi kwa mamlaka kuyajuwa haya yote,unaambiwa Pdiddy alikuwa anamtaka Tup Shakur enzi hizo karibu miongo mitatu iliyopita,Tupac alivyokataa aliuawa baadae,katika dodosa pdidy anahusika katika hayo mauaji ya Tupac,vile vile P didy anaongelewa sana kwa sababu ni mtu maarufu sana katika tsnia ya muziki,mambo ambayo pdidy amekuwa akiyafanya siyo mageni katika uso wa dunia,yalikuwepo toka enzi za Wafalme.
 
Mnafanya upuuzi wenyewe mkidakwa mnasingizia deep state, sijui illuminat , freemason na ndgu yenu shetani.

Mi bado naamini ni akili zake na tamaa zake, akatumia pesa zake kuficha uovu wake.
 
Sijui kama nitakuja kuielewa hii issue.
1. Hizi party zilikuwa za wake na waume, je walikuwa wanafanya orgies?
2. Hao victims wa Diddy ni watu wakubwa sana walikubali vipi kufa kinyonge?
3. Huyo Diddy ana nguvu kiasi gani mpaka akutongoze mwanaume mwenzake kama demu tu?
 
Yasemayo yapo
dolla m100 unajua n sh ngap??

100m$= 2500* 100m$
= 250,000m
=250,000,000,000/=
=Bilion 250
Sasa huyu mwamba yeye pesa hizo huzitoa wapi maana sio mmoja wengi wametajwa kugongwa na kupewa kiasi kikubwa cha fedha???
 
Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy.

Maswali ya kujiuliza: Je, n Pdidy alikua pekee yake HAPANA. Kuna watu wengi mabilionea waliokua wanamsaidia kuandaa hizo party na ku-cover hayo maushenzi yake miaka yote.

Kwanini sasa? Lazima kuna sehemu kawazingua wanamuonesha makali.

Tabia za Pdidy ndio tabia za matajiri au mabillionear wengi na bado zinaendelea. Hawa watu maarufu ndo wanayokutana nayo ila hawana kwa kusema kwasababu netwok zao ziko kila mahali.
Bullshit ...
 
Back
Top Bottom