Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Nimeona clip anayosema kabakwaa, appearance yake inaonesha wazi ni muongooo kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Falaa sanaa tule mtoto... Anasema kabakwaa utadhani anasemaa dyudyu ilikuwa tamuu jamanii acha tuuu niende chuo harakaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yaani kile kiduku alichokutwa nacho ndio kinaonyesha kabisa yule mtoto ni mdangaji aliyechangamka na sio mara ya kwanza kutoroka shule alishawahi kutoroka akiwa O level wakati huo mwalimu jimy hayupo na kwa nn aende kwa baba Jose badala ya kwenda nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha Myth wala nini... Huyu demu alikuwa geto huko anakulaa mitiiiii na mwalimu jimmy alijilia vyakee asilete story za kubakwaa
 
Sasa suala dogo ni hivi, huyo mama wa genge abanwe hadi aoneshe huyo mtu aliye mpeleka Esther kwake, na ukumbuke mama wa gengeni alisema huyo baba josse ni mlanguzi wake wa mkaa, hivyo wanafahamiana tangu zamani.

Baada ya hapo huyo Esther atoe maelezo kamili kuhusu baba josse na kukaa naye kwa mwezi mzima, sasa km myth tyuuh ndo aelezee yeye, km ameweza kusema alibakwa na ticha jimmy, ndo ashindwe kusema hiyo Criteria unayodai wee?

Kablaa ya kudeal na ticha jimmy, lazima tutafute muhusika aliyekua nae yeye esther wakati wote akitafutwaa. Hapa hakuna kupindishaa lazima ukweli ujulikanee,

Hili suala LA jimmy kumbaka lipo na litafanyiwa kazi, ila sehemu na muhusika aliyekuwa nae wakati wote pindi akitafutwa lazima ukweli ujulikanee, hakuna kuachaa kitu, km alitegemea akishampa case jimmy bas watu wataacha kuhoji huko aliko kuwepo na muhuaika wake pindi akitafutwa, bas kaulaa wa chuyaa, lazima ukweli upatikane kuhusu baba Jose km ni myth au ni kweli basi itafahamikaa.
 
Falaa sanaa tule mtoto... Anasema kabakwaa utadhani anasemaa dyudyu ilikuwa tamuu jamanii acha tuuu niende chuo harakaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa chuo ataendajee na drama zakee? Si atafeli tyuu. Angetulia akapiga kitabu akishafika chuo ndo angekulaa bata hadi mbuzi waonee wivuu. Woiiiiiiih
 
Sasa atafutwee huyo alio mpokea, ambaye ni baba Jose yeye ndo atasema km aliambiwa na jimmy ampokee Esther au laah.

Mbna mnakimbia suala LA baba Jose kutafutwa?? Kwann? Acheni kutaka kuumiza watu wasio na hatia, khaaah
Haha sawa kwa mtazamo wako pia sio mbaya na kwa vile nilivyoelwza mimi haimaanishi muuza genge na baba Jose wataachwa pembeni baada ya Mwl. Jimmy kukamatwa na kuhojiwa. Tunaanza na anayepatikana kirahisi kuelekea waliobaki.
 
Kuna clip inatembea mitandaoni ya Esta akikata mauno kwenye mchiriku kwa kweli huyu hakustahili hata kuitwa mwanamfunzi bali kahaba angewaharibu wanafunzi wengine
 
Mtoa maada niseme tu kweli NIMEKUTUKANA TENA SANA.Mtoto wenu malaya anataka kuharibu maisha ya mwalim Jimy,umeona wapi mtoto kabakwa kakimbilia sehem mwezi mzima?mpaka waziri mkuu kaingilia kati ndio katoka kwa baba Jose.Baba jose hana akili akae na mtoto wa watu bila kutoa taarifa kuwa kabakwa? Baba jose aliambiwa nini na mtoto mapaka akampokea na kukaanae muda wote huo,Baba jose hana watoto asisikie uchungu?Mnaharibu maisha ya JImy na familia yake bila kujua anawatu wanamtegemea kijana wa watu.
 

[emoji419][emoji375] Umeongea kitu cha kweli bro, sijui kwann wanaume wa Nchi hii hawathamini wanawake sijui wana roho za aina gani?!!

Nimeumia huu uzi ulinipita, ulikuwa mzuri sana [emoji17]

Itabidi ss hivi nipunguze kusoma nyuzi za hovyo [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…