cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nimeona clip anayosema kabakwaa, appearance yake inaonesha wazi ni muongooo kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona clip anayosema kabakwaa, appearance yake inaonesha wazi ni muongooo kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Falaa sanaa tule mtoto... Anasema kabakwaa utadhani anasemaa dyudyu ilikuwa tamuu jamanii acha tuuu niende chuo harakaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimeona clip anayosema kabakwaa, appearance yake inaonesha wazi ni muongooo kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kile kiduku alichokutwa nacho ndio kinaonyesha kabisa yule mtoto ni mdangaji aliyechangamka na sio mara ya kwanza kutoroka shule alishawahi kutoroka akiwa O level wakati huo mwalimu jimy hayupo na kwa nn aende kwa baba Jose badala ya kwenda nyumbani.Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.
Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.
Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.
Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"
Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.
Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.
Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;
1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI
WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.
MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?
3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?
HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).
1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?
2. Kwanini alimtaja Jimmy?
3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?
4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?
SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.
Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.
Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.
2. Mmewakosea wazazi wote.
3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.
ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Hakuna cha Myth wala nini... Huyu demu alikuwa geto huko anakulaa mitiiiii na mwalimu jimmy alijilia vyakee asilete story za kubakwaaAsante sana, kumbe kuna watanzania ambao wanaweza kufikiri na kutengeneza creteria. Ndiomana nasisitiza wakuanza nae ni huyo mwal. Jimmy kwasababu anajulikana na huyo Jose muuza mkaa (Ki intelijensia anaweza akawa mtu wa myth tu) au inaweza ikawa ni entity, inaweza akaongezewa ili kukamilisha shtaka. much know njoo uwaone wanaofikiria mambo kwa mipaka mikubwa zaidi
Sasa suala dogo ni hivi, huyo mama wa genge abanwe hadi aoneshe huyo mtu aliye mpeleka Esther kwake, na ukumbuke mama wa gengeni alisema huyo baba josse ni mlanguzi wake wa mkaa, hivyo wanafahamiana tangu zamani.Asante sana, kumbe kuna watanzania ambao wanaweza kufikiri na kutengeneza creteria. Ndiomana nasisitiza wakuanza nae ni huyo mwal. Jimmy kwasababu anajulikana na huyo Jose muuza mkaa (Ki intelijensia anaweza akawa mtu wa myth tu) au inaweza ikawa ni entity, inaweza akaongezewa ili kukamilisha shtaka. much know njoo uwaone wanaofikiria mambo kwa mipaka mikubwa zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa chuo ataendajee na drama zakee? Si atafeli tyuu. Angetulia akapiga kitabu akishafika chuo ndo angekulaa bata hadi mbuzi waonee wivuu. WoiiiiiiihFalaa sanaa tule mtoto... Anasema kabakwaa utadhani anasemaa dyudyu ilikuwa tamuu jamanii acha tuuu niende chuo harakaaa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Na mimi nimeona..🤤🚮Nimeona clip anayosema kabakwaa, appearance yake inaonesha wazi ni muongooo kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha sawa kwa mtazamo wako pia sio mbaya na kwa vile nilivyoelwza mimi haimaanishi muuza genge na baba Jose wataachwa pembeni baada ya Mwl. Jimmy kukamatwa na kuhojiwa. Tunaanza na anayepatikana kirahisi kuelekea waliobaki.Sasa atafutwee huyo alio mpokea, ambaye ni baba Jose yeye ndo atasema km aliambiwa na jimmy ampokee Esther au laah.
Mbna mnakimbia suala LA baba Jose kutafutwa?? Kwann? Acheni kutaka kuumiza watu wasio na hatia, khaaah
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.View attachment 2675625
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia mjadala basi huoni nimebakili hivyo vifungu ?Yaaan Mshana ndio unafikiri kwa Ufupi hivi amakweli tumekwisha
Komenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.
Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.