Kazi kweli kweli na ndo ajifunze nidhamu ya hela akipata sio kufanya show off nyingi wakati huja invest hapo clemence lazma atamkumbuka tu
Hapo anasema ningejua, wakati its too late labda anaweza bahatika na pedeshee mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweli na ndo ajifunze nidhamu ya hela akipata sio kufanya show off nyingi wakati huja invest hapo clemence lazma atamkumbuka tu
sijui ka ntaweza Ku attach picha pm ninayo lakin
Sasa ivi naona chausiku auny ezekiel ndo anawafutarisha mastaa, mama ubaya hali mbaya ooh, we unafanya masihara nini
Mwezi huu Wema hafuturishi,au ndo mfulio wa nguvu?
si za kweli so why anataka kusoma albadir?mshaurini vzr mama enu anajidhalilisha sanaaaaaa!Hata usinung'unike hujaziona! maana photoshop kwahiyo hazina maana yoyote!! sijui hata hao wahusika wanajali nini na upumbavu kama ule!!
Ni mahaters tu ndiyo wanaona kitu ya maana!!
Hapo anasema ningejua, wakati its too late labda anaweza bahatika na pedeshee mwingine
Hapo anasema ningejua, wakati its too late labda anaweza bahatika na pedeshee mwingine
Na alivyokuwa chizi ata kiwanja hakununua, sijui alijua clement baba yake atamlea maisha, yani alijafanyia vitu vya maana zaidi ya sho off za kipumbavu
Picha mbona ziliwekwa humu? Waulize akina Heaven on Earth wenzio walishajionea mambo humu
fanya hivyo bibie nasi tuone
Hawana pesa ya ftari sasa wanatoa habari gazetini ili walipwe.
sijui kutuma pm ni attach pic labda what's up
Na alivyokuwa chizi ata kiwanja hakununua, sijui alijua clement baba yake atamlea maisha, yani alijafanyia vitu vya maana zaidi ya sho off za kipumbavu
sijui kutuma pm ni attach pic labda what's up