Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Naomba nitumie chemba mie sikuiona :A S wink::A S wink:
sijui ka ntaweza Ku attach picha pm ninayo lakin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nitumie chemba mie sikuiona :A S wink::A S wink:
Picha mbona ziliwekwa humu? Waulize akina Heaven on Earth wenzio walishajionea mambo humu
Heaven on Earth naomba na mie nitumie hio pic kwa pm please my best do so.
Eeee nyoka atazaa nyoka siku zotee WEMA kamrithi mama yakee kila kituuu
Picha iliwekwa humu uzi ukafutwaaaaa
Nimecheka eti wasamaria wema walienda kwa kina wema kuwaambia mtu aliyehusika na kusambaza picha chafu, nimeshangaa kweli kumbe wambea na sisi ni wasamaria wema? Mmh kazi ipo, na hao watu waliotoka uko mpaka kwa kina wema kupeleka umbea wanayaweza
Hawana pesa ya ftari sasa wanatoa habari gazetini ili walipwe.
Naomba nitumie chemba mie sikuiona :A S wink::A S wink:
Njoo kule pm nkutumie uone chuma chakavuu
Heaven on Earth naomba na mie nitumie hio pic kwa pm please my best do so.
Hawana ushahid wa kutosha ndo wanataka wafanye albadili, yani mama mshirikina yule mmh
Sasa ivi naona chausiku auny ezekiel ndo anawafutarisha mastaa, mama ubaya hali mbaya ooh, we unafanya masihara nini
Picha iliwekwa humu uzi ukafutwaaaaa
tuma hata pm basi nasi tuone vitu adimu