Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

Sasa hyo alibadiri na mwezi hu mtukufu wapi na wapi kuwadhuru watu huo ni wanga tu kama wengne

Mi naona wanatafuta tu umaarufu wa kijinga, maana mtu na mama yake wote lao moja, we tukio hadi tumelisahau wenyew ndo wanajidai albadili
 
Hawana pesa ya ftari sasa wanatoa habari gazetini ili walipwe.
 
Nimecheka eti wasamaria wema walienda kwa kina wema kuwaambia mtu aliyehusika na kusambaza picha chafu, nimeshangaa kweli kumbe wambea na sisi ni wasamaria wema? Mmh kazi ipo, na hao watu waliotoka uko mpaka kwa kina wema kupeleka umbea wanayaweza

asa km anawajua albadir ya nini?mbona mama hana hayaaa yuleee kkaaaah!
 
Njoo kule pm nkutumie uone chuma chakavuu

Ona sasa huyu mama anavyojidhalilisha kumbe kuna watu walikuwa hawajui kuhusu picha zake za uchi , sasa ivi wanajua sasa na wanataka waone uchi wake(hata kama photoshop) naona ndo atazidi kufurahi
 
Hata usinung'unike hujaziona! maana photoshop kwahiyo hazina maana yoyote!! sijui hata hao wahusika wanajali nini na upumbavu kama ule!!
Ni mahaters tu ndiyo wanaona kitu ya maana!!
 
Mwezi huu Wema hafuturishi,au ndo mfulio wa nguvu?

Sasa ivi naona chausiku auny ezekiel ndo anawafutarisha mastaa, mama ubaya hali mbaya ooh, we unafanya masihara nini
 
Sasa ivi naona chausiku auny ezekiel ndo anawafutarisha mastaa, mama ubaya hali mbaya ooh, we unafanya masihara nini

Kazi kweli kweli na ndo ajifunze nidhamu ya hela akipata sio kufanya show off nyingi wakati huja invest hapo clemence lazma atamkumbuka tu
 
Back
Top Bottom