Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Anaweza kikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya kijinai ambayo 8tathibitika yalikuwa ni ya kujinufaisha yeye b8nafsi na ujaji unakuwa mwisho. Kitakachofuata ni utaratibu tu wa kawaida wa kumwondoa rasmi baada ya kuthibitika uhalifu wake.YELLOW JOURNALISM AT ITS BEST......Raisi hawezi kumuondoa Jaji wa Mahakama kuu kama ambavyo ninyi mnataka. Kuna utaratibu maalumu ndani ya katiba ambao hata Raisi hawezi kuuvuruga. Haya mengine mnayoandika hapa ni majungu, udaku na umbeya usio na kichwa wala miguu........
Lakini hawezi kushtakiwa makosa yale aliyoyafanya wakati akitimiza wajibu wake. Wa kikazi.