Uchaguzi 2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

Wapo waislam wanaounga mkono Bakwata ambao wengi wao ni wazee na watu wa chama na serikali. Huku kwa kina sheikh Ponda ukija unakutana na proggressive Muslims wengi wao vijana ambao wanaamini msikiti sio sehemu ya kwenda kuswali na kuondoka bali ni taasisi.

Ndio ukikuta msikiti una shule, umejenga madrasa ya kisasa, madarasa ya elimu ya watu wazima , hostel za vijana wanaofanya mitihani au kituo kidogo cha afya. Hii ndio misikiti ya ki harakati ambayo followers wengi ni vijana na nadiriki kusema angalau 75% ya waislam ambao wengi ni vijana utawakuta huko.

Katika hawa vijana unakutana na wengine ambao hata sio wale wanaoswali swala 5 lakini wanaamini kwenye falsafa ya msikiti kama taasisi na wao pia wanasikiliza kina sheikh Ponda na hawataki kuisikia hiyo Bakwata!

Sasa hii meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!!
 
Sasa Mzee wangu, ikitokea Wakatoliki au walutheri au wakristo wote kwa ujumla wakatangaza kura ni kwa flani(upande tofauti na aliochagua sheikh wako) kama alivyofanya Sheikh Ponda unadhani nini kitatokea baada ya matokeo!?
Mkuu unajua aliye Anza?
Mpaka hapo Mzee Ponda alikua katulia kwake.
Kilichotokea.
Shehe wa Bakwata wa Jiji la Dar Alhadi Mussa alimpinga Lisu waziwazi na kumpigia kampeni Rais John Magufuli waziwazi Clip zipo.
Haikutosha.
Bakwata mkoa wa Mtwara watampigia Rais John Magufuli kampeni waziwazi Clip ipo.
Hadi happy hakukua na kemeo toka upande wowote.
Hapo ndipo Mzee Ponda akaibuka kutoka kusikojulikana na kuja kumpigia Tundu Lisu wa Chadema Mkoa kwa mkoa,wilaya kwa wilaya Jimbo kwa Jimbo.
Na kuanzia hapo ndipo Sasa kumekuwa kukisikika vilio kutoka sehemu mbalimbali za nchi,ni hofu na mashaka vimetawala.
 
Kuanzia kwa mtoa maana na baadhi ya wachangiaji bado wanaudumavu wa akili.
 
Umendika kinyume chake!

Shehe ponda ni wa upande ule wa wavaa vipedo
 
Allah subhanah wataalah mlinde Sheikh Ponda Issa Ponda na Mahasidi wa BAKWATA na wafunga Hirizi wenzao
 
Mufti Zuberi ni Mganga wa kienyeji, fact.

Uislamu haukubaliani na shirki.
...πŸ™„πŸ™„πŸ™„... Msiwapake matope viongozi wa dini hata kama hamuwapendi.
 
Tripo9,
Ingia: mohamedsaidsalum.blogspot.com.

Fanya search kwa majina au matukio mathalan Sheikh Hassan bin Ameir, Julius Nyerere au Mwembechai, Kura Tatu nk.
Asante Mzee Mohammed Said.

Zamu hii sisi Wakristo tumeungana kwa lengo moja tu, kukomesha dhulma kwenye nchi hii na wote tunataka haki.

Hakuna mtu yeyote ccm mwenye uwezo wa kuwaweka jela maaskofu wetu kipindi chote hiki, why Masheikh wafanyiwe dhulma kiasi hiki?

Sisi wakristo safari tunakwenda pamoja na waislamu kudai haki, na hakuna haki pasipo kuiondowa ccm ikae chonjo kwanza.

Tumedhamiria, mgombea mwrnza wa Lisu ni muislamu anajuws vizuri madhira ya waislamu na ni mzanzibar.
 
...[emoji849][emoji849][emoji849]... Msiwapake matope viongozi wa dini hata kama hamuwapendi.
Sipaki mtu matope, wewe humji mufti kabla hajawa mufti, kaa kimya.

Ni mganga wa kienyeji, hana uislamu huo unaofikiri wewe anao.
 
Hivi kwanini wengi wa watu wanao andika harakati za Waislamu wengi hawaziandiki harakati hizi kwa mujibu wa Uislamu wenyewe ?

Mfano mzuri ni hii makala fupi mzee wangu. Kuna muda huwa nawapa udhuru labda kwa sababu ya mapenzi yenu juu ya dini hii Adhimu, ila elimu na mizani ya kuipimia hizi harakati hamna, aidha mnaijua lakini mnaipuuza au hamna mizani hiyo.

Lakini mzee wangu kauli yako ya mwisho kuhusu wanao mpinga Ponda si Masheikh bali ni Masheikh wa BAKWATA si sahihi, na unatakiwa urekebishe, na sisi tunasema hivi "MASHEIKH WA BAKWATA NA PONDA WOTE WANAPINGWA NA QUR'AAN NA SUNNAH". yaani wawili hao wote Uislamu unawakataa. Sasa utaniambia usahihi wa Ponda huwa mnaupima kwa mizani ipi ?
 
 
Huyo alikuwa Mufti tangia 1880 hadi 1979. Huyo kweli alitwala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…