Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Wapo waislam wanaounga mkono Bakwata ambao wengi wao ni wazee na watu wa chama na serikali. Huku kwa kina sheikh Ponda ukija unakutana na proggressive Muslims wengi wao vijana ambao wanaamini msikiti sio sehemu ya kwenda kuswali na kuondoka bali ni taasisi.
Ndio ukikuta msikiti una shule, umejenga madrasa ya kisasa, madarasa ya elimu ya watu wazima , hostel za vijana wanaofanya mitihani au kituo kidogo cha afya. Hii ndio misikiti ya ki harakati ambayo followers wengi ni vijana na nadiriki kusema angalau 75% ya waislam ambao wengi ni vijana utawakuta huko.
Katika hawa vijana unakutana na wengine ambao hata sio wale wanaoswali swala 5 lakini wanaamini kwenye falsafa ya msikiti kama taasisi na wao pia wanasikiliza kina sheikh Ponda na hawataki kuisikia hiyo Bakwata!
Sasa hii meseji ya sheikh Ponda kama imewafikia " progressive muslims" wengi basi CCM iongeze sana jitihada za kuiba kura!!!