Bigmaaan
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 306
- 699
Mbona kama vile kuna naona hapa ilipangwa long strategy na Simba.
1. [Kama ni kweli] Simba hawakuomba kutumia Uwanja, walifanya kusudi na mtego.
2. Simba wasusie Match ya Tar 8.
3. Bodi ya ligi iifute match.
4. [Kwa usahihi/kwa kutokuwa sahihi—wanaingia kwenye mtego] Yanga wanasusia match ijayo. TUKO KWENYE HATUA HII.
What's next [I see this moves]
5. Kwa sababu itakuwa ni kujivua nguo wasipofanya basi Bodi ya ligi inatangaza tar nyingine ya match.
6. Simba inaingia uwanjani, [ Incase Mama/wanasisiasa hawaingilii kuisihi Yanga], ili nayo kulinda Msimamo wao, Yanga inasusia
7. Simba inachukua ponti Tatu mezani.
8. Next moves—Nashindwa kuiona.
Siku chache mbele msimamo wa hii ligi utakuwa Yanga ana point 58, Simba Point 57. Huku akiwa na hakika ya game moja mkononi dhidi ya Dodoma jiji, ambayo Im sure itamfanya afikishe Point 60. Point Mbili mbele ya Yanga.
Hii ngoma suluhu ni kukaa mezani, msimamo wowote ule wa pande zote tatu, unavuruga hii ligi ya 2024/2025.
Im just saying