Sakata la Simba na Yanga, kuna 'Chess game' ilichezwa?

Sakata la Simba na Yanga, kuna 'Chess game' ilichezwa?

Onyesha kosa la TFF boss, kwa jambo hili la kubadilika ndani ya masaa machache wamevunja sheria/Kanuni ipi? Tupo pamoja, tupo pamoja mkuu.
Alex mgongolwa,aliyekua mwanasheria wa tff,leo sports arena anasema yanga wanastahili point tatu,kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi na kuahirisha mechi ni makosa mawili tofauti,na hili limeimbwa tangu jumapili
 
MATOKEO YA SIASA KWENYE MPIRA,HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI ANAANDALIWA MTU PLATFORM YA SIASA SIKU YA MECHI.UNAWEZA SHANGAA TAREHE YA KUCHEZWA HII MACHI IKAWA NI KIOJA.
 
Mashabiki wa Simba haikukosewa na Rage wallah 😆😆
Hivi wanaona timu yao ilifanya sahihi kabisa na ile ilikua sababu ya msingi kususia mechi
Na wanaona ni sahihi mechi ipangwe siku ingine aisee
They are very stupid, me nawashangaa
 
Mbona kama vile kuna naona hapa ilipangwa long strategy na Simba.

1. [Kama ni kweli] Simba hawakuomba kutumia Uwanja, walifanya kusudi na mtego.

2. Simba wasusie Match ya Tar 8.

3. Bodi ya ligi iifute match.

4. [Kwa usahihi/kwa kutokuwa sahihi—wanaingia kwenye mtego] Yanga wanasusia match ijayo. TUKO KWENYE HATUA HII.

What's next [I see this moves]

5. Kwa sababu itakuwa ni kujivua nguo wasipofanya basi Bodi ya ligi inatangaza tar nyingine ya match.

6. Simba inaingia uwanjani, [ Incase Mama/wanasisiasa hawaingilii kuisihi Yanga], ili nayo kulinda Msimamo wao, Yanga inasusia

7. Simba inachukua ponti Tatu mezani.

8. Next moves—Nashindwa kuiona.
Siku chache mbele msimamo wa hii ligi utakuwa Yanga ana point 58, Simba Point 57. Huku akiwa na hakika ya game moja mkononi dhidi ya Dodoma jiji, ambayo Im sure itamfanya afikishe Point 60. Point Mbili mbele ya Yanga.

Hii ngoma suluhu ni kukaa mezani, msimamo wowote ule wa pande zote tatu, unavuruga hii ligi ya 2024/2025.View attachment 3265141
Im just sayingView attachment 3265145
Hiki ulichokisema hapa kina uhalisia kwa asilimia nyingi. Simba walikuwa wanatafuta tu kisingizio cha kuingia mitini kwa kishirikiana na Bodi ya ligi. Na washukuru maigizo yao yamefanikiwa.

Binafsi nawashauri Yanga wakubali tu kucheza nao, ili wawafunge kwa mara ya 5 mfululizo! halafu tuone watatoa kisingizio gani tena.
 
Hakuna hiyo kanuni, ukisusa mechi mpinzani anapewa p3.

Ila sasa mechi haijaharishwa sababu ya Simba kususa, imehairishwa kwa kutumia kanuni ya 34:1(1.3).

Na imehairishwa kabla ya muda wa mechi, meaning Simba hawajapata muda wa kukamilisha tafsiri ya kususa kikanuni hivyo huwezi kusema walisusia mechi isiyokuwepo.
Kwa hiyo simba ilisusia mechi kwa sababu ilizuiliwa na makomandoo wa Yanga kuingia uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho, huku wakiwa hawajotoa taarifa kwa mhusika yeyote yule wa uwanja kuhusu ujio wao!!

Aisee mbona haihitaji akili nyingi kugundua haya ni maigizo ya kupangwa!
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kwa hiyo simba ilisusia mechi kwa sababu ilizuiliwa na makomandoo wa Yanga kuingia uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho, huku wakiwa hawajotoa taarifa kwa mhusika yeyote yule wa uwanja kuhusu ujio wao!!

Aisee mbona haihitajo akili nyinhi kugundua haya ni maigizo ya kupangwa!
Hahaha
 
Mgeni rasmi alipangwa kuwa nani hiyo tarehe 8? Mechi ijayo uatakuwa nani?

Tumenunua umeme Ethiopia, jambo zuri.
 
Back
Top Bottom