Sakata la Simba na Yanga, kuna 'Chess game' ilichezwa?

Onyesha kosa la TFF boss, kwa jambo hili la kubadilika ndani ya masaa machache wamevunja sheria/Kanuni ipi? Tupo pamoja, tupo pamoja mkuu.
Alex mgongolwa,aliyekua mwanasheria wa tff,leo sports arena anasema yanga wanastahili point tatu,kosa la kuzuiwa kufanya mazoezi na kuahirisha mechi ni makosa mawili tofauti,na hili limeimbwa tangu jumapili
 
MATOKEO YA SIASA KWENYE MPIRA,HUU NI MWAKA WA UCHAGUZI ANAANDALIWA MTU PLATFORM YA SIASA SIKU YA MECHI.UNAWEZA SHANGAA TAREHE YA KUCHEZWA HII MACHI IKAWA NI KIOJA.
 
Mashabiki wa Simba haikukosewa na Rage wallah 😆😆
Hivi wanaona timu yao ilifanya sahihi kabisa na ile ilikua sababu ya msingi kususia mechi
Na wanaona ni sahihi mechi ipangwe siku ingine aisee
They are very stupid, me nawashangaa
 
Hiki ulichokisema hapa kina uhalisia kwa asilimia nyingi. Simba walikuwa wanatafuta tu kisingizio cha kuingia mitini kwa kishirikiana na Bodi ya ligi. Na washukuru maigizo yao yamefanikiwa.

Binafsi nawashauri Yanga wakubali tu kucheza nao, ili wawafunge kwa mara ya 5 mfululizo! halafu tuone watatoa kisingizio gani tena.
 
Kwa hiyo simba ilisusia mechi kwa sababu ilizuiliwa na makomandoo wa Yanga kuingia uwanjani kufanya mazoezi ya mwisho, huku wakiwa hawajotoa taarifa kwa mhusika yeyote yule wa uwanja kuhusu ujio wao!!

Aisee mbona haihitaji akili nyingi kugundua haya ni maigizo ya kupangwa!
 
Reactions: Tsh
Hahaha
 
Mgeni rasmi alipangwa kuwa nani hiyo tarehe 8? Mechi ijayo uatakuwa nani?

Tumenunua umeme Ethiopia, jambo zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…