GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania wasikulaumu na wasikuone upo upo tu Dar es Salaam, Zanzibar na Dodoma?