GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nchi hii haitabahatika na itaendelea kujikongoja kwa kutegemea mtu aliyepo pale juu ndio awe kila kitu...., Tunahitaji Taasisi na Sio Mtu Pamoja na utendaji wake mzuri huyu Bwana alishiriki sana kuendelea kuangamiza Taasisi...
All in all naweza kusema JPM could have made a Great Prime Minister....,
Utoto raha Sana mkuu. U can just think anyhowKuna mtu alitabiri humu mama atakua Rais then CHADEMA kuchukua nchi itakua kama mserereko nimeanza kuona dalili. .....
Naam watu na sio Mtu..., Kumbuka no one is brighter than all of us... kwahio mifumo inayotengenezwa na wadau / sio mdau ikishawekwa pale ni wadau wanaosimamia.., sio mtu kujiamulia mwenyewe kila anapoamka (hata monarchy ina misingi yake ambao ni utamaduni wao) even a King can not go against the traditions....Nchi zote zinazosifiwa kuna na Taasisi imara zilipata watu Imara wakatengeneza mifumo imara
No one said otherwise..., ila ilifikia wakati na mpaka sasa kuna kautamaduni mtu mmoja kujiamulia tu hata kama inakwenda against mapatano au kanuni na sheria zilizopo zinasemajeMifumo haijitengenezi
Yaani tunahitaji maandiko ya kina Stalin na wengineo kujua what is what ?, Kumbuka we have a luxury of hindsight tunaweza kujua what worked where and what did not..., pia lazima ujue kinachofanya kazi huko au pale huenda kisifanye kazi hapa (kutokana na tamaduni na utofauti) Lakini ukweli unabakia kwamba hakuna mtu mmoja mwenye akili / uwezo kuliko sisi wote..., kwahio mfumo na taasisi unaweza kujengwa kwa kuhusisha wadau / wananchi wote kwa kukubaliana hio itapelekea kwamba kile kitu ni chetu (contract) hivyo kupelekea kitu hicho kuheshimiwa....Kamsome Wiston Churchil na Roosevelt na kina Stalin upate role yao kwny mifumo tunayosifia leo kwny hizo Nchi
Hata mfumo wa nchi yetu umetengenezwa hivi ulivyo bila ya kujali unaukubali au unaukataa
Ambayo ni kuhakikisha maisha yetu yanakuwa mserereko sasa kama watu wanaona otherwise huoni kwamba huenda hiyo kazi haifanyiki ipasavyo ?acheni rais afanye kazi yake