mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Welcome back dada.= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Duh!!!!Huyu jamaa anasura ngumu kama kinyago anatafuta kupaa kwa mbawa za watu, kabila gani huyu au makonde?
Anawaandikia wajinga wenzake [emoji106]= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Msaga sumu eeeh hujaacha bado tu fiksi ndugu yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Harmorapa ameonesha yeye sio mtu wa mchezomchezo linapokuja suala la afya ya akili na hasa maisha ya vijana wenzake.
Majira ya saa nane maeneo ya centrral police, Harmorapa alionekana kaunta akijaribu kuangalia kama kuna uwezakano wowote ule jina lake likawepo hapo either kama mtumiaji au punda,lkn kwa bahati nzuri anadai halikuwepo.
Akiongea na wahandishi wa habari baada ya kuthibisha jina lake halikuwepo ,Harmorapa amedai alipata maelfu ya sms kutoka kwa mashabiki wake ambao walitaka afatualie suala hilo polisi maana hawako tayari kumuona akipotea kwenye game na hasa kipindi hiki ambacho ameonekana kuziba ombwe la msanii anayetuwakilisha kimataifa.
pia msanii huyo amewaomba wasanii watumie muda mwingi studio na location na wajiatahidi kukaa mbali na maeneo ya Kinondoni hasa wanapokuwa na stress.
hance mbona nimesikia Apple naye yupo kwenye list ya Mh. Mkuu wa mkoa?Mtoto Apple nipo naye hapa tunapata dinner kidogo
Hana mbavu yani amecheka sana alivyosoma thread yako na hiyo avatar ndo kabisaaa umemuacha hoi
Wasiompenda kaja= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
management yake Inatumia kila fursa kuhakikisha jamaa anapata kikiHuyu jamaa kweli anatafuta kiki.