SubiriHebu weka picha tuonee
Duh ni mmakonde huyu?hata kama mwanaume hasifiwi sura ila hii kavu sana.
Yaani hii ni kick indeed...
[emoji3] [emoji3] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Duh ni mmakonde huyu?hata kama mwanaume hasifiwi sura ila hii kavu sana.
[emoji38] [emoji38]Duh ni mmakonde huyu?hata kama mwanaume hasifiwi sura ila hii kavu sana.
Usimtukane huyo dogoHyo dogo ashakua mpumbavu
humu humu jf ni shule tosha wengine ndo tunajifunza hatukwenda shule.= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
wajaribu kukaa mbali na kinondini hasa wanapokuwa na stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamorappa bhanaHarmorapa ameonesha yeye sio mtu wa mchezomchezo linapokuja suala la afya ya akili na hasa maisha ya vijana wenzake.
Majira ya saa nane maeneo ya centrral police, Harmorapa alionekana kaunta akijaribu kuangalia kama kuna uwezakano wowote ule jina lake likawepo hapo either kama mtumiaji au punda,lkn kwa bahati nzuri anadai halikuwepo.
Akiongea na wahandishi wa habari baada ya kuthibisha jina lake halikuwepo ,Harmorapa amedai alipata maelfu ya sms kutoka kwa mashabiki wake ambao walitaka afatualie suala hilo polisi maana hawako tayari kumuona akipotea kwenye game na hasa kipindi hiki ambacho ameonekana kuziba ombwe la msanii anayetuwakilisha kimataifa.
pia msanii huyo amewaomba wasanii watumie muda mwingi studio na location na wajiatahidi kukaa mbali na maeneo ya Kinondoni hasa wanapokuwa na stress.
Ni swala tu la muda mkuu.
Binaadamu mwenzio lakiniHivi......
Ndio huyu mwenye pua kama ananusa harufu mbaya....[emoji15] [emoji15]
Nikweli mkuu.....Binaadamu mwenzio lakini
Hamorapa ni wa kimataifa [emoji12] [emoji12]harmorap - Harmorapper - HARMORAPIST of bongo music industry_ By the way I real appreciate this guy...!