Sakata la Unga: Harmorapa aenda central kuhakiki kama jina lake lipo

Sakata la Unga: Harmorapa aenda central kuhakiki kama jina lake lipo

Handsome boi Harmorapa kwenye ubora wake.
Harmorapa.jpg
Harmorapa.jpg
maxresdefault (1).jpg
 
Harmorapa ameonesha yeye sio mtu wa mchezomchezo linapokuja suala la afya ya akili na hasa maisha ya vijana wenzake.
Majira ya saa nane maeneo ya centrral police, Harmorapa alionekana kaunta akijaribu kuangalia kama kuna uwezakano wowote ule jina lake likawepo hapo either kama mtumiaji au punda,lkn kwa bahati nzuri anadai halikuwepo.
Akiongea na wahandishi wa habari baada ya kuthibisha jina lake halikuwepo ,Harmorapa amedai alipata maelfu ya sms kutoka kwa mashabiki wake ambao walitaka afatualie suala hilo polisi maana hawako tayari kumuona akipotea kwenye game na hasa kipindi hiki ambacho ameonekana kuziba ombwe la msanii anayetuwakilisha kimataifa.
pia msanii huyo amewaomba wasanii watumie muda mwingi studio na location na wajiatahidi kukaa mbali na maeneo ya Kinondoni hasa wanapokuwa na stress.
wajaribu kukaa mbali na kinondini hasa wanapokuwa na stress[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamorappa bhana
 
MSAGA SUMU unapotea sana bana, vipi hili sakata unaliongeleaje kwa Madam?

Naona kama kuna watu wana wivu na maendeleo yake wanamchomea.
 
Kwa nini hajiamini kiasi hicho?! Inamaana hata yeye hajui kama anatumia au hatumii!
 
Habari yote haina mana, bali kiswahili chako tu ndio kina mana , wewe ni mpuuzi wacha tuuendelee kukupuuza
 
Hivi......
Ndio huyu mwenye pua kama ananusa harufu mbaya....[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom