Sakata la Unga: Harmorapa aenda central kuhakiki kama jina lake lipo

Hapo mbali na promo LA hamorapa ambae naona atachezea sana mtarimbo ni huyo kisura maana wale mapredeshee wenye pesa za kumwaga watamuandama sana huyu binti
 
= waandishi

Mengine jaza mwenyewe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Omba kazi kwenye magazeti, Nahisi unamatatizo kichwani au itakuwa mfia dini wewe, watu wa kujilipua nimewahi ishi nao miaka ya 2003 walikuwa kama wewe mambo yao mwisho wa siku walielekea Sudani kaskazini imebaki story ,Walipenda sana kufuatilia lugha wakati kwenye kitabu chao Quran kimekosewa Sana
 
Is this msaga sumu the singer I know.or not?
 
Hongera Hamorapa kwa kumiliki mtoto clasical kama huyu...dawa yake mpatie mtoto haraka
 

Ndivyo ulivyodanganywa na ujinga ukakujaa.
 
= waandishi

Mengine jaza mwenyewe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Yaani we mfumo wako wa kufikiri umejaa makosa tu negative Mbona hapo ni makosa ya kuchapa tu kila kitu kinaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…