Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah kuna mtu kamchoma ila hausiki hata kidogohance mbona nimesikia Apple naye yupo kwenye list ya Mh. Mkuu wa mkoa?
Niliposikia tu hivyo nikakukumbuka mkuu.
Haha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji112] [emoji112]= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mmawia....Huyu jamaa anasura ngumu kama kinyago anatafuta kupaa kwa mbawa za watu, kabila gani huyu au makonde?
unaitwa usitoe pasi...Kwani wakuu huyu ameimba wimbo ganii? Mwenye wimbo wake awake hapa
hahahahahahahahhaHyo dogo ashakua mpumbavu
Umerudi pole mwalimu= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Za kenya kakaHarmorapa ndio nani mkuu?? Wengine hatumjui bas hata tupicha twake
Kaandika maneno mengi sana siyo hayo tuu jamani mengine kapatia= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kaisha fanya yake !hahahaaaaaa
Kwahiyo kukaa karibu na kinondoni kuna husiana nini na unga?Harmorapa ameonesha yeye sio mtu wa mchezomchezo linapokuja suala la afya ya akili na hasa maisha ya vijana wenzake.
Majira ya saa nane maeneo ya centrral police, Harmorapa alionekana kaunta akijaribu kuangalia kama kuna uwezakano wowote ule jina lake likawepo hapo either kama mtumiaji au punda,lkn kwa bahati nzuri anadai halikuwepo.
Akiongea na wahandishi wa habari baada ya kuthibisha jina lake halikuwepo ,Harmorapa amedai alipata maelfu ya sms kutoka kwa mashabiki wake ambao walitaka afatualie suala hilo polisi maana hawako tayari kumuona akipotea kwenye game na hasa kipindi hiki ambacho ameonekana kuziba ombwe la msanii anayetuwakilisha kimataifa.
pia msanii huyo amewaomba wasanii watumie muda mwingi studio na location na wajiatahidi kukaa mbali na maeneo ya Kinondoni hasa wanapokuwa na stress.
Katika hili dada yangu upo vizuri.= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
= samahaniKaandika maneno mengi sana siyo hayo tuu jamani mengine kapatia
Samaani lakini
Ohooo!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Iko shida sana kwa wasomi wa kizazi hiki cha acha maneno weka mziki
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....= waandishi
Mengine jaza mwenyewe.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?