Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

Kwa alipofikia sasa huenda ni kweli, amejiuza vizuri sokoni ana wateja wengi toka nchi mbali mbali.
Inshort jamaa ana upepo kama wa Mr.Nice enzi za kuku kapanda baskeli!
Upepo wa Mr. Nice ulikuwa wa mda mfupi, kama miaka mi3 tu
 
Tatizo ni je, ushahid wanao??
Kama hawana bado itkuwa ngumu kumuadabisha Mond,
 
chama chetu oyeeee!, nawaonya wasanii waache kupigia kampeni vyama vya siasa. wanasiasa hawana rafiki
 
Kwa alipofikia sasa huenda ni kweli, amejiuza vizuri sokoni ana wateja wengi toka nchi mbali mbali.
Inshort jamaa ana upepo kama wa Mr.Nice enzi za kuku kapanda baskeli!

Ukibadilisha kwa ela ya kibongo unapata million 111,977,895.93 za tanzania na hiyo ni 2016 hatujui 2018 wanamlipaje.
 
Mkuu angalia takwimu zako vizuri..!!

Unajua thamani ya pesa uliyoitaja kwa shilingi ya kitz?
Daaahh aisee ni DOLA 55000 nimekosea,ni DOLA 55 elfu kwa mujibu wa Eric shigongo na vyanzo vingine
 
Mara free mason Ila manasahau,wahenga husema Juhudi ni shina la maendeleo
 
Sasa Mwakyembe mbona matokeo ya uchunguzi hukuleta ?
 
Ile tindikali imekula hadi afya ya akili daah Watu wabaya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…