Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
hapa naona mambo mawili.
Moja inawezekana gazeti limeamua tu kumfanyia dogo promo.
.....au wameamua tu kukatia pembamba, sidhani kama ni diamond pekee anaweza kuwa suspect wakati hapa dar kuna watu kibao wanamiliki mali ambazo hazina maelezo yanayojitosheleza kuhalalisha utajiri wao.
.....wote tunajua jinsi ambavyo dogo anafanya show mara kwa mara na anacharge ghali labda kuliko wasanii wengine.
Ni juzi tu zilikuja taarifa kuwa alizenguana na promota kule mombasa kwa ajili ya malipo.......malizieni malipo ndio nipande jukwaani.....wasanii wangapi wanatamani wapate hata show za bure.
Hebu tuacheni mambo ya kufikirika.
Na nyie mtanzania basi kesho mje na majina ya hao tunaowaona wanaishi peponi bila hata shughuli inayoeleweka (mkione cha moto), kama kweli mnao ujasiri huo kama si tu kumsumbua diamond.
nina wasi wasi na hii habari na wengine wame kwenda mbali zaidi na kusema mwakyembe kasema diamond achunguzwe na nina uhakika mwakyembe hawezi kusema hivi