fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Hata BongoFlava wakati inaanza ilikuwa ngoma ya wahuni, sio taabu leo kusikia ni walewale wauza ngano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatutaki porojo kama hizi, serikali iko wapi ituonyeshe wahusika? Najua hili ni upepo tu litaishia hewani yatakuja mengine.[ Huyu ni punda tu kama wengine. Mabwana wapo ... ni kwa vile tu serikali kwa sababu inazozijua haitaki kulishughulikia jambo hili. Kumbuku Hakuna anayesingizia mtu wenye ukwasi wa kutokana na jasho lao wanajulikana na wala hawatatajwa. dogo aache kujiuma uma ni mbebaji mzuri tu.
naona "wajenzi huru" wamepumzika sasa ni zamu ya sembe.!!
siku hizi hata ukisafiri mara kwa mara toka dar kwenda mtwara lazima utahusishwa na sembe kwa hiyo tusiende kununua korosho?
Ehhh..kuna ukweli wowote kuhusiana na suala hili?
huu ni wivu wa maendeleo ya diamond! gazeti la mtanzania halijamtendea haki. habari imekaa kiudaku kuliko kiueledi! upuuzi
oohooo! Jamaa freemason kumbe wapi!!!!!!!!!
Watu wanauza madawa ya kulevya nyie mnawapa cheo cha ufreemason.
Hakuna freemason bongo.
Wote muwaitao freemason ni wauza unga. trust me
naona "wajenzi huru" wamepumzika sasa ni zamu ya sembe.!!