Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe

hao woote kna Masogange na Melisa Wabanwe na kupewa mkong'oto wamtaje Kigogo anaehusika na Diamond naona kama hausiki hapo.
 
Jamani mambo mengine nayo,huyu kijana anajituma na mungu amemuona au niseme zangu yake imefika,kuna wengine wana
pesa na hawana hata ki genge chakuuzia Mbatata wala tungule lakini ana magari yafahari nyumba zafahari na mengine mengi. huyo wanamvalia miwani ya mbao, Kijana mwenye kujituma ndio wanamvalia 3D.
 
Mambo yameanza kuiva,Acha tuendelee kuaubiri but kuna kale kamsemo kuwa "lisemwalo lipo na km halipo basi lipo njian linasogea"TANZANIA YA SASA NI VYOMBO VYA HABARI NDIVYO VINAVYOFUATILIA MAMBO
 
kwani ndio wanajua leo? Mbona safari zake za mara kwa mara magogoni awasemi? Diamond ni punda wa kubeba sembe kama Sepetu na Wema zake na wakimkamata na WAKILI RIZ NAE AKAMATWE najua jf tumevamiwa na modes ambao ni mamluki hii thread wataitoa mda wowote tunaomba muiache huu uzi.
Cc invisible,paw,mike,maxence melo.
 
Na bado.
Sinema hata kati halijafika. Ndo mikwara ya mwanzo mwanzo hapo picha tayari lishanoga. Tukifika katikati ya movie si ndo balaaa????????!!!!!!!!!!!!
 
mwanzo mlisema niza freemanson leo tena niza unga huyu bwana mdogo kumiliki huu ukwasi ni halali yake hebu tujaribu kufikiri daimond kwa wiki ana fanya show ngapi na anaingiza kiasi cha shilingi ngapi kwa wiki kwanini asimiliki huu ukwasi alionao

dah watanzania bana huyu jamaa hu utajir alonao.ni halali kabisa naona wametoka freemason wanampakazia unga kweli mti wenye matunda na unatupiwa mawe
 
huu ni wivu wa maendeleo ya diamond! gazeti la mtanzania halijamtendea haki. habari imekaa kiudaku kuliko kiueledi! upuuzi
 
Mimi nailaumu sana serikali kwa hili,. huyu mwanamziki anakiri mwenyewe ana ukwasi wa kutosha kuishi maisha atakayo na hata safari yake moja tuu ya Afrika kusini imemgharimu dola 30,000/ sasa TRA watuambia huyu kijana analipa kodi kiasi ganiii?!!! MAELEZO YA DIAMOND YANANIPA PICHA MOJA TUUU ANAFAIDIKA SANAA NA UKWEPAJI KODI WAKATI WENGINE TUNAUMIA NA KODI WENGINE WANAPATA HELA ZA KUFANYIA KUFURU... PAYE INATUUMIZA JAMANI NA MZIGO HUU UNGEPUNGUA SANAA KWA WAFANYAKAZI KAMA SEKTA ISIYO RASMI INGEBANWA NA IKALIPA KODIII.. MFANYAKAZI MWENYE PATO LA MILIONI MOJA NA NUSU NALIPA LAKI LATUU SAWA SAWA NA MJASIRIAMALI ANAYEINGIZA FAIDA YA MILIONI TANO KWA MWEZI... TRA EBU AMKENI BANA MKUSANYE HII HELA MTUPUNGUZIE UGUMU WA MAISHA NA CHUKI DHIDI YA SERIKALI YETUU....

TRA TUAMBIE DIAMOND ANALIPA KODI TSH NGAPI!!!!!????????
 
mwanzo mlisema niza freemanson leo tena niza unga huyu bwana mdogo kumiliki huu ukwasi ni halali yake hebu tujaribu kufikiri daimond kwa wiki ana fanya show ngapi na anaingiza kiasi cha shilingi ngapi kwa wiki kwanini asimiliki huu ukwasi alionao
hivi ni waimbaji wangaji wanapiga show kili siku ukamsikia ana 1b ktk account yake? hivi wewe tangu uanze kazi au biashara unakiasi gani ktk account yako? tusidanganyane fikiri chukua hatua, hivi show moja wanalipwa sh ngapi? anawatumishi wangapi? mpaka aweze kukusanya 1b?
 
TRA Mko wapi? mbona mnatubana sana ss wafanyakazi? watu kama hawa wanalipa kodi kiasi gani? aaaah!
 
kwani ndio wanajua leo? Mbona safari zake za mara kwa mara magogoni awasemi? Diamond ni punda wa kubeba sembe kama Sepetu na Wema zake na wakimkamata na WAKILI RIZ NAE AKAMATWE najua jf tumevamiwa na modes ambao ni mamluki hii thread wataitoa mda wowote tunaomba muiache huu uzi.
Cc invisible,paw,mike,maxence melo.

ulikua wapi siku zote..!
 
Yaani ndio maisha yetu Tanzania, issue zinakuja kama wingu la mvua.....alafu inapita kama kulikuwa na jua tu linawala! tunasahau tunaanza na mambo mapya! hata serikali yetu inatufahamu nayo inaendesha issue kufuatia upepo unavyovuma na wananchi wetu.....
 
Back
Top Bottom