Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
Kaaazi kweli kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zikija story za kutoa pesa kujenga nyumba za ibada, kukagua 'vioski' vyake na mambo ya kusema ana zaidi ya Billion kwenye accounts zake mnasifia kuwa anatisha na ni 'billionea' lakini akishakuwa linked na hii biashara ndio mnasema hana pesa! Kweli bongo kuna mambo.Diamond ana pesa gani kuwa zungu la unga hivyo vijumba viwili na kigari mtu yoyote anaweza kuvipata hata kwa mkopo kama alikuwa punda zamani haijamsaidia leo hii pesa ya shoo zake haikaribii malipo ya punda kumi kwanini sasa afanye hiyo? Kupakana matope na wivu vitawauwa
Huu utajiri wa kuibuka kama huyo nina wasi wasi na mdada mwingine msanii
siku hizi hata ukisafiri mara kwa mara toka dar kwenda mtwara lazima utahusishwa na sembe kwa hiyo tusiende kununua korosho?
Lisemwalo lipo dogo alisema ana zaidi ya B Kwenye acc,alivyonunua prado ni sawa na wewe unavyoenda kununua sandals kwa wachaga k/koo,diamond kanunua mtat mzima k/nyama kaunga nyumba sita anataka kujenga hotel,njoo m/nyamala kanunua mijengo kama mi4 hv,njoo tegeta ana nyumba ya mil 260,njoo kimara ana ghorofa bado halijaisha! Ni kweli show hz hz?
unamaanisha nini accurate data au inaccurate data?ulikua wapi siku zote..!