Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.

I know what am talking about.
 
Hawa ndugu zetu polisi vyeti vyao (copy) zilichukuliwa Kwa ajili ya uhakiki. Hivyo sio kwamba hawakuhakikiwa, Ila tu kwenye list ya fake hawakuwekwa. Jeshi la ulinzi ndio hawakuhakikiwa, hivyo sishangai orodha ya fake polisi ikitolewa, jeshi la ulinzi ndio tusahau
 
usifurahie mwenzako kupata matatizo. huku ni kuongeza idadi ya wahalifu mtaani ukizingatia wana mbinu za kijeshi
Halafu polisi ni wengi mimi kwa kweli binafsi sikulifurahia zoezi hili najaribu kuvaa viatu vya yaloyowakuta roho inanimate sana. Afadhali redundancy utajiri wa kwingine, sasa hili sijui ndiyo inakuwaje Mungu tusitiri si jambo la kushabikia
 
Mmhh. Hawawekwi Mtandaoni? Je Wakivaa Magwanda Wakarudi tena Mtaani. Tutawajuaje Yupi ni Askari Ni Feki na Yupi ni Halisi?
 
Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.

I know what am talking about.
You should not make such an underrating of these would be victims!
 
Back
Top Bottom